Show za kibabe

Show za kibabe

Kiukweli, nakojoa pazuri 🤒
STDs kijana...

Siku ya jana niko kwa daladala kuna binti alikuwa anamwaga kojo huku anapanda bodaboda na kijana mwenzake akishout out awahishwe sehemu,alishindwa kujizuia walitoka kulalana huko na vijidudu walipeana nahisi.

Na mimi nilivyo na akili fupi nikampiga picha mrembo wa wenyewe.🤣

Inaweza ikawa ndio nyie i mean binti na huyo kijana.
 
USI nifananishe na hao wajinga😂😀🤣.
👉Mimi ninapo kojoa pazuri 🤒
 
morning message .
Sinung'uniki Sina viatu,.
Wenzagu hawana miguu.
Hawa lalamiki,
Wana mshukuru aliye juu.
64676dee353f36c2ee8d8bd5bf473318.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom