Ahsante mkuu nitafika hapo InshaAllah, ila hii sehemu ina kila kitu cha kuingiza top dollars hapa, wao wamewekeza wanatengeneza pesa,they don't take a shit kwa mlala hoi, hawajawekewa mazingira yeyote ya kuingiza pesa, pesa kwa royal families tuHii nchi hii acha tu.. Hapo upande wa pili kuna mlima una unyayo mmoja mkubwa ni Mojawapo ya utalii pia ila tumelala tu.. Ulizia mguu wa Mungu ukiweza ufike kileleni uta enjoy
Sent using Jamii Forums mobile app
