Nilimwomba Mungu aniondolee tabia yangu tatanishi Mungu akasema, Hapana

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,638
697,938
Nilimwomba Mungu aniondolee tabia yangu tatanishi Mungu akasema, Hapana.

Nilimwomba Mungu amponye mtoto wangu mlemavu. Mungu alisema hapana roho yake ni mzima, mwili wake ni wa muda tu.

Nilimwomba Mungu anipe subira. Mungu alisema hapana subira ni matokeo ya dhiki; haijatolewa bila sababu inafunza.

Nilimwomba Mungu anipe furaha. Mungu alisema, Hapana. Ninakupa baraka; Furaha ni juu yako.

Nilimwomba Mungu aniepushe na maumivu. Mungu alisema, Hapana. mateso hukuweka mbali na masumbuko ya kidunia na kukuleta karibu nami.

Nilimwomba Mungu aifanye roho yangu ikue. Mungu alisema hapana ni lazima ukue peke yako, lakini nitakupangia mema ili kukufanya uzae.

Nilimwomba Mungu mambo yote ili nifurahie maisha Mungu alisema, Hapana. Nitakupa uzima, ili ufurahie vitu vyote.

Nilimwomba Mungu anisaidie KUWAPENDA wengine, jinsi anavyonipenda mimi. Mungu alisema...Ahhhh, hatimaye umewaza vema sana

SIKU HII NI YAKO USIIJUTIE... Mungu Akubariki na kukuponya maumivu na magumu yako yote

Aaamen
Jr future pastor
e204e5a92601e5b54c23ff9b23e0ec97.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
AMEN! 🙏🏿🙏🏿🙏🏿

IMG-20240131-WA0021.jpg
 
Jr future pastorView attachment 2891697

Sent using Jamii Forums mobile app
Amen, aya ya mwisho
 
Umekula bange la wapi leo?
 
Back
Top Bottom