Zulu man
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 6,323
- 16,567
Nisiamini hata genes,lazima wafuate kila kitu toka kwangu,si ndio?
Nisiamini hata genes,lazima wafuate kila kitu toka kwangu,si ndio?
Zinaboost sana mfananoNisiamini hata genes,lazima wafuate kila kitu toka kwangu,si ndio?
I mean no malice to nobody 😀🤒😔😔😔😔
Mr clean ndo nani 😀View attachment 2860775karibuni huku, sasa ndio nimeelewa why Mr.Clean aliamua kujenga huku
LushotoView attachment 2860775karibuni huku, sasa ndio nimeelewa why Mr.Clean aliamua kujenga huku



Pazuri mno, tutafute hela jamani🤒🤒
Yes mkuu, huku ndio Aden ilipo, sijawahi fika, ndio mara ya kwanza kutembelea huku, ni kuzuri balaa na hii Pass ya kutoka pale Mombo ni super, ila pls wabunge saidianeni muikarabati kabla haijawa mbovu zaidi
Yes mkuu ,tutafute pesaPazuri mno, tutafute hela jamani🤒🤒
Mr clean ni nani??Yes mkuu ,tutafute pesa
Kaka mna nitafutia majanga😀🤣, SI uli tushauri tutunze miilo yetu🤒