Nadhani atakuwa na fistulaSTDs kijana...
Siku ya jana niko kwa daladala kuna binti alikuwa anamwaga kojo huku anapanda bodaboda na kijana mwenzake akishout out awahishwe sehemu,alishindwa kujizuia walitoka kulalana huko na vijidudu walipeana nahisi.
Na mimi nilivyo na akili fupi nikampiga picha mrembo wa wenyewe.
Inaweza ikawa ndio nyie i mean binti na huyo kijana.
Yes mkuu,nipo kwenye Aden ,hii sehemu ni nzuri,nzuri mno mkuu
Ufike View pointYes mkuu,nipo kwenye Aden ,hii sehemu ni nzuri,nzuri mno mkuu
InshaAllah mkuu nitafika,picha nitatuma
Yeah
Wapi hapa rafiki?
Super mkuu hii sehemu
Hii nchi hii acha tu.. Hapo upande wa pili kuna mlima una unyayo mmoja mkubwa ni Mojawapo ya utalii pia ila tumelala tu.. Ulizia mguu wa Mungu ukiweza ufike kileleni uta enjoyNimefika kwenye view point, ipo A1 na hapo ndio utaamini kuwa hawa viongozi wetu hawana kabisa Nia ya kuiendeleza nchi hii, hili eneo lipo tayari kwa ajili ya kuingiza usd nyingi tu na kutoa ajira kubwa wa poor of the poorest wa maeneo haya, why hatujengi cable car's ili kuvutia watalii zaidi, ili nchi ipate dollars?,tuelewe kwa kila watalii 12 wanaotutembelea ,ajira 1 inakuwa created, yaani wabunge wa huku nini wanakifanya?,mh.Makamba ametembelea sehemu nyingi tu hapa duniani why hakufikiria kujenga cable car hapa Lushoto?,cape Town inaingiza watalii zaidi ya 2M,na 40%,ya watalii hawa wanatembelea Table mountain kwa kutumia cable car,just imagine Lushoto wanapata watalii 300,000 kwa msimu, ajira kibao tungezalisha hapa