Show za kibabe

Show za kibabe

Hahahahahahhaa, sasa wewehotuba ya kike kike ya nafasi inayopatika kwa kuolewa tu, unafananisha na hotuba za wanamume wanaopigiwa kura? We vipi wewe? Fananisha hotuba za wanamume wanaopigiwa kura waliopo madarakani uone ukweli wa mambo!
 
View attachment 465950 Nimeangalia video ya Michelle Obama wakati akiwaaga wamarekani kupitia wanafunzi wa chuo kikuu...Hotuba ile aliyoitoa yule mwanamama maneno aliyoongea ni wachache sana duniani hata wenye elimu kiwango change phd wake kwa waume wanaweza kuitoa (nikijaaliwa nafasi nitaweka tafsiri yake hapa kwa tafsiri ya kikwetu.

Ni mojawapo ya hotuba bora kabisa kuwahi kutokea miaka ya hivi karibuni duniani, hotuba ya kutia hamasa kutia moyo kuamsha uzalendo na matumaini kujiamini na kujenga uwezo wa kutenda na kufikiri kwa njia chanya zaidi. Uhuru wa kujieleza matamanio ndoto mitazamo na hata maono
Niliwaona wazungu wakitokwa na machozi, ni hotuba inayopinga kunyanyapaa na kujinyanyapaa.

Nikakukumbuka hotuba za viongozi wetu wa kiafrika zilizojaa ubabe vitisho na kuwajenga watu kuishi kwa woga na kutojiamnini.

Tunajenga Taifa gani hili? Hatuwezi kuiga kwa Michelle?
Mkuu Mshana, asante kwa hii kitu, kitu cha kwanza kabla mzungumzaji fulani hajazungumza kama fulani ni uwezo wa kusikia ni kitu kimoja, uwezo wa kuelewa ni kitu kingine, na uwezo wa kuyatenda hayo uliyoyasikia nayo ni kitu kingine kabisa.

Kusikia ni uwezo wa kuisikia hiyo lugha inayozungumzwa humo. Na baada ya kusikia, unafuatia uwezo wa kuelewa hicho kilichozungumzwa humo na baada ya kuelewa ni uwezo wa kuyatenda hayo yaliyozungumzwa! .

Kwa mtazamo wako, viongozi wetu wana uwezo huo? .

Paskali
 
Hii sheria kandamizi ya vyombo vya habari inatunyima kuchangia kwa uhuru mada hizi....tumejengewa hofu ya kulazimizhwa na kupewa limitations kwenye uwezo wetu wa kufikiri na kutafsiri maono ya kile tunachoona ndio kingepaswa kuwa na la zaidi kuleta ulinganifu
Kwa viongozi wetu wa kiafrika wamejengwa kwenye misingi hii tangu kitambo na viongozi wa wenzetu wamejengwa na misingi ya hotuba kama za Michelle kwa viwango vyake
Kwa hali tuliyonayo Africa unategemea tutapata cream gani ya viongozi wajao?
 
Hahahahahahhaa, sasa wewehotuba ya kike kike ya nafasi inayopatika kwa kuolewa tu, unafananisha na hotuba za wanamume wanaopigiwa kura? We vipi wewe? Fananisha hotuba za wanamume wanaopigiwa kura waliopo madarakani uone ukweli wa mambo!
 
Umeona eeeh, wanaume wanavyokutia dawa? inakuingia mpaka mwenyewe unaona, eeenh, hapa barabara, sio tu unakurupuka kufananisha wanaopaka shedo na wanaoamrisha majeshi yaende vitani!
 
Madikteta wakishagundua hawapendwi huanza ubabe na vitisho ili wasikosolewe. Hawa ni watu ambao kukosolewa huwa kunawanyima raha sana na hutumia hata nguvu ya vyombo vya dola ili kuzuia Wananchi wasiwakosoe. Mifano ipo ya kutosha tu ya hao madikteta.

View attachment 465950 Nimeangalia video ya Michelle Obama wakati akiwaaga wamarekani kupitia wanafunzi wa chuo kikuu...Hotuba ile aliyoitoa yule mwanamama maneno aliyoongea ni wachache sana duniani hata wenye elimu kiwango change phd wake kwa waume wanaweza kuitoa (nikijaaliwa nafasi nitaweka tafsiri yake hapa kwa tafsiri ya kikwetu.

Ni mojawapo ya hotuba bora kabisa kuwahi kutokea miaka ya hivi karibuni duniani, hotuba ya kutia hamasa kutia moyo kuamsha uzalendo na matumaini kujiamini na kujenga uwezo wa kutenda na kufikiri kwa njia chanya zaidi. Uhuru wa kujieleza matamanio ndoto mitazamo na hata maono
Niliwaona wazungu wakitokwa na machozi, ni hotuba inayopinga kunyanyapaa na kujinyanyapaa.

Nikakukumbuka hotuba za viongozi wetu wa kiafrika zilizojaa ubabe vitisho na kuwajenga watu kuishi kwa woga na kutojiamnini.

Tunajenga Taifa gani hili? Hatuwezi kuiga kwa Michelle?
 
View attachment 465950 Nimeangalia video ya Michelle Obama wakati akiwaaga wamarekani kupitia wanafunzi wa chuo kikuu...Hotuba ile aliyoitoa yule mwanamama maneno aliyoongea ni wachache sana duniani hata wenye elimu kiwango change phd wake kwa waume wanaweza kuitoa (nikijaaliwa nafasi nitaweka tafsiri yake hapa kwa tafsiri ya kikwetu.

Ni mojawapo ya hotuba bora kabisa kuwahi kutokea miaka ya hivi karibuni duniani, hotuba ya kutia hamasa kutia moyo kuamsha uzalendo na matumaini kujiamini na kujenga uwezo wa kutenda na kufikiri kwa njia chanya zaidi. Uhuru wa kujieleza matamanio ndoto mitazamo na hata maono
Niliwaona wazungu wakitokwa na machozi, ni hotuba inayopinga kunyanyapaa na kujinyanyapaa.

Nikakukumbuka hotuba za viongozi wetu wa kiafrika zilizojaa ubabe vitisho na kuwajenga watu kuishi kwa woga na kutojiamnini.

Tunajenga Taifa gani hili? Hatuwezi kuiga kwa Michelle?

Hotuba zinamsaidia nini Mniga anayesota Geto bila ya kazi wewe? Huyo mama mume wake Obama amehamisha kazi za Mamilioni ya Wamarekani kwenda Mexiko na Uchina, Wamarekani weusi wengi hawana kazi leo zaidi walivyokuwa kabla huyo mama hajaingia sasa inawasiaida nini hizo Hotuba zake?
 
Zimesaidia kuleta mjadala kama huu na reply kama hii
 
View attachment 465950 Nimeangalia video ya Michelle Obama wakati akiwaaga wamarekani kupitia wanafunzi wa chuo kikuu...Hotuba ile aliyoitoa yule mwanamama maneno aliyoongea ni wachache sana duniani hata wenye elimu kiwango change phd wake kwa waume wanaweza kuitoa (nikijaaliwa nafasi nitaweka tafsiri yake hapa kwa tafsiri ya kikwetu.

Ni mojawapo ya hotuba bora kabisa kuwahi kutokea miaka ya hivi karibuni duniani, hotuba ya kutia hamasa kutia moyo kuamsha uzalendo na matumaini kujiamini na kujenga uwezo wa kutenda na kufikiri kwa njia chanya zaidi. Uhuru wa kujieleza matamanio ndoto mitazamo na hata maono
Niliwaona wazungu wakitokwa na machozi, ni hotuba inayopinga kunyanyapaa na kujinyanyapaa.

Nikakukumbuka hotuba za viongozi wetu wa kiafrika zilizojaa ubabe vitisho na kuwajenga watu kuishi kwa woga na kutojiamnini.

Tunajenga Taifa gani hili? Hatuwezi kuiga kwa Michelle?
JPM anasema kuzi kwa kusoma kuwa mwalimu alikuwa mwakilishi wa oau badara ya kusema mwanzilishi, mkaliman naye katafsiri .... he was a representative.....! Aibu tupu
 
JPM anasema kuzi kwa kusoma kuwa mwalimu alikuwa mwakilishi wa oau badara ya kusema mwanzilishi, mkaliman naye katafsiri .... he was a representative.....! Aibu tupu
 
Madikteta wakishagundua hawapendwi huanza ubabe na vitisho ili wasikosolewe. Hawa ni watu ambao kukosolewa huwa kunawanyima raha sana na hutumia hata nguvu ya vyombo vya dola ili kuzuia Wananchi wasiwakosoe. Mifano ipo ya kutosha tu ya hao madikteta.

Mungu alipoumba dunia alifanya udikteta, shetani alipotaka demokrasia alifukuzwa paradiso, Adam na Hawa walipotaka demokraasia waliadhibiwa, unaumbwa kwa udikteta pasipo kuchagua baba, mama, rangi, wala siku ya kuzaliwa, unauliwa kwa udikteta. Wanaume wameumbwa kwa mfano wa Mungu ili wawe madikteta, mababa wengi timamu majumbani ni madikteta, wanaamua wapi wanunue kiwanja, wajenge nyumba ya aina gani, watumie shilingi ngapi. Mungu amesha amuau mpaka kitaka kufanya mapenzi uingize tundu gani! Demokrasia haijawahi kufanya kazi duniani, ni myth inayowafanya wajinga waone kuwa nao eti wana nafasi.

Kama unataka kuona madikteta wasivyopenda kukosolewa anza kukosoa mipango ya Mungu ukione cha moto. Demokrasia, demokrasia ni mambo tu ya ujinga uijinga watu wanatiwa wazimu mpaka wanataka kufanya mambo kinyume cha maumbile. Demokrasia kwa maneno mengine nihali ya kutaka kufanya mambo kinyume cha asili, kinyume cha maumbile!
 
Hotuba zake hazina mashiko yoyote. Kama kweli Wamarekani wangekuwa wanamsikiliza huyu mama, basi wasingemchagua TRUMP. Ninyi ndiyo mnaona hotuba za huyu mama zinamashiko, lakini wenye nchi yao wanaona ni longo longo tu.

Wamarekani wanataka kusikia maneno haya tu;

MAKE AMERICA GREAT AGAIN!
 
Aaah huyu wa Trump ni porn star
emoji15.png
emoji15.png
emoji15.png
emoji15.png
 
Acha ujuha wako wa kufananisha mipango ya Mungu na madikteta! Wewe kweli hamnazo! Duh!

Back
Top Bottom