Show za kibabe

Show za kibabe

"You should never view your challenges as a disadvantage. Instead, it's important for you to understand that your experience facing and overcoming adversity is actually one of your biggest advantages"-Michelle

This woman is something else, i find she's smartest FLOTUS next to Eleanor Roosevelt.
 
Hawa watu wana upendo wana amani ni wa kweli ndio maana kwenye utawala wao sijawahi kusikia siku hata moja wamepatwa na maradhi ya shinikizo la damu wako hospital kwa matibabu, haya ya kwetu yamejaa chuki ubabe kisirani kutwa kwenda mahospitalini na fedha za maendeleo ya nchi, yamejaza sumu yanajimaliza yenyewe.
 
Lakini tukumbuke pia kuwa hotuba nzuri na ya kusisimua inahitaji maandalizi makubwa; sio tu katika kuiandika, lakini pia katika kuiwasilisha.
 
Hawa watu wana upendo wana amani ni wa kweli ndio maana kwenye utawala wao sijawahi kusikia siku hata moja wamepatwa na maradhi ya shinikizo la damu wako hospital kwa matibabu, haya ya kwetu yamejaa chuki ubabe kisirani kutwa kwenda mahospitalini na fedha za maendeleo ya nchi, yamejaza sumu yanajimaliza yenyewe.
Kaka umekubali ombi langu la kunisindikiza kupeleka kale kamzigo kwa mlengwa?
 
sijui wa trump nayeye atanena yapi....
obama ana lakujivunia kwa huyo murembo wake.. huu msemo "ukiona mwanaume kafanikiwa jua kuna mwanamke nyuma yake" unasadiki hili japo si kwa wote😱
 
Kaka umekubali ombi langu la kunisindikiza kupeleka kale kamzigo kwa mlengwa?
Haahaahaahaa! nitakusaidia kupeleka lakini tupeleke mbao mojamoja tukifikisha mzigo tumuachie yeye kazi ya kuunganisha ili aweze kupata umbo la zawadi yake.
 
I miss you mwasu
 
Haahaahaahaa! nitakusaidia kupeleka lakini tupeleke mbao mojamoja tukifikisha mzigo tumuachie yeye kazi ya kuunganisha ili aweze kupata umbo la zawadi yake.
tukutane photos uone mzigo
 
tukutane photos uone mzigo
Nakuja mkuu ngoja nipitie na kwenye mavazi sijui rangi gani itamfaa kuingia nayo humo kwenye nyumba, nadhani nyekundu ni best kwake au sio? kasuti flani hivi kekundu .
 
Kumbuka hao hao walitaka tukubali ushoga na hilo ungelisifia uone comments utazopata .
Hilo la ushoga tumejaza unafiki tuu. Tuukubali au tuukatae, huo ushoga upo ndani ya jamii kwa kiwango kikubwa na tuache kusingizia nchi zingine kwamba ndio zinaueneza huku kwetu.
Kwani yule Kiongozi wa uvccm ambaye huwa kila mara anaenda mapumziko Mombasa na ndani ya chama wanajua anafuata nini huko jee Serikali ya Obama ndiyo imemfundisha mchezo huo? Jee kama ccm inapinga vitendo hivyo sii wangemfukuza uongozi kwani mambo hayo anayafanya kwa uwazi ?
Muhimu ni kujifunza kuwa tabia hiyo sio nzuri, usimgonge mwenzio wala usiruhusu kamwe kugongwa.
 
Nakuja mkuu ngoja nipitie na kwenye mavazi sijui rangi gani itamfaa kuingia nayo humo kwenye nyumba, nadhani nyekundu ni best kwake au sio? kasuti flani hivi kekundu .
Suti ya kijivu
 
Nyekundu mkuu ingemfaa maana jamaa utadhani katokea msitu wa gamboshi kila akiibuka ni mateso tu, aa sina hamu nae.
Nyekundu heshima iwe nyeusi tii
 
Back
Top Bottom