reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,427
- 29,306
Kidogo🙏










Wa kwangu hata mimi mwenyewe huwa unanisumbua nikianza kusoma baadae...naanza kujiuliza hivi hapa niliandika nini?
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app





Kwa mwandiko huo!uko vzr sanaa!dogo
Nikugawie.
Nilikuwa naandika sana ubaoni enzi za shule.







cc kipendhii 


Wa kawaida
St Anne hiki kimwandiko kitamu sana, kinashibisha hata bila kula.
Kweli eeh?St Anne hiki kimwandiko kitamu sana, kinashibisha hata bila kula.
