Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,248
Mchafu kama wangu
Mchafu kama wangu
Hapo hujachafua mbona?Mchafu kama wanguView attachment 2042629
Dokta shkamoo!!
Wakimaliza wa la 7Haya std vii b mje na miandiko tuone
Yes bossS.Anne.
Mbona hata mimi naparua kama bata na nimeweka😊unataka ukimbie hapa cc au?
Wee JF nzima hakna wa kukufikia hapa,Mbona hata mimi naparua kama bata na nimeweka![]()



Waje tushindane😆Wee JF nzima hakna wa kukufikia hapa,![]()
Waje tushindane
Watu na miandiko yao wametulia ila sasa tunaoparua kama bata ndo tumekazana kutuma miandiko yetu.




thubutuuu yako wee lolWeka tu na wako mdogo wangu😊thubutuuu yako wee lol