Talha
JF-Expert Member
- Nov 11, 2021
- 202
- 224
Kuna rafiki yangu mmoja alikua anaandikia mashoto aisee yule kaka

KafanyajeKuna rafiki yangu mmoja alikua anaandikia mashoto aisee yule kaka![]()
Mwandiko wake sijawahi ona popote tena
Jmn,tutumiee basiMwandiko wake sijawahi ona popote tena
Mwandiko mzuri ajabu.
Nikipata nafasi ya kuwa karibu na zile daftari nitapiga picha.

Hana lolote labda umempenda yeye na co mwandiko.
Scars nimependa namna unaandika.
Naomba kwa mwandiko huo uniandikie ujumbe wowote,hata jina langu tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Woow



I do remember the old meView attachment 2045247



hapo ukiandika barua ya mapenzi, muhusika ana pizi kwa kutazama muandiko lol