Hannah
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 10,146
- 41,401
Wewe huyo?
Wewe huyo?
Hahahaha kumbe Saint Anne ulikuwa mwanafunzi wa mke wangu? ..
Am proud of you my dear Hannah
Na pendo naliongeza.![]()
Na mimi naomba nitoke basi hapo kwa mangi kidogo nikapate bia mbili tatu sitalewa kama juzi mama watoto ..Ndio babe, mimi ndio nimemfundisha kuumba mwandiko.
Thank you hun , I love you.
Siku ukiniona utachekaWewe huyo?


NdiyoHahahaha kumbe Saint Anne ulikuwa mwanafunzi wa mke wangu? ..
Am proud of you my dear Hannah
Na pendo naliongeza.![]()
Hii sio kweliInaonekana speed yako ya kuandika ni ndogo sana. Na ukiongeza speed huenda muandiko ukabadilika naangalia herufi zako zilivyo na madoido. Mfano kana una maandishi mengi kama daftari za notes tuma tuone.
🤣🤣🤣🤣 Kuna watu wanaandika!loh!
Hahahh halafu jamaa anajiita penadurOvarian Cyst
For laparatomy
Rx
1. Inj Diclofenac
2. Tab Ciprofloxacin
3. Tab PCM
Kuna mtu amesema eti huo mwandiko umemkumbusha mbali sana,eti kama wa bibi yakeKuna watu wanaandika!loh!

Dah bora umenisaidiaHii sio kweli
Mfano mimi mwandiko wangu unaonekana kama ni wa kuremba sana,lakini huwa siandiki taratibu....tena nikiandika haraka ndio naonekana kama nimeremba zaidi


Shukrani mkuuNa mi nimejaribu ila Saint umetishaView attachment 1858490

Mkuu tuunde chama chetu
Kuna mtu amesema eti huo mwandiko umemkumbusha mbali sana,eti kama wa bibi yake
Haki nimelala jana nacheka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikusomee?