ledada
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 17,456
- 67,408
Ahsante love💛Mimi naona ledada anashika chat .
Anaandika mwandiko wa kike,nimeupenda.![]()
Wengine sisi tunatembeza tu wino![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenyewe nimeupenda wa kwako
Ahsante love💛Mimi naona ledada anashika chat .
Anaandika mwandiko wa kike,nimeupenda.![]()
Wengine sisi tunatembeza tu wino![]()
Sent using Jamii Forums mobile app

Anne wewe me siufikii hata robo wakwako
MamiiDear Saint Anne usinicheke eeeh..!! View attachment 1857016








.




Wewe una mwandiko wa kike mzuriAnne wewe me siufikii hata robo wakwako
Mamii

.Tubadilishane.Ahsante love
Mwenyewe nimeupenda wa kwako

I hope wimbo wenye hii tittle huwa unausikiliza!!

Hiko Kitabu ni political economy,?Hapa nilikuwa mwaka wa 1, nilikuwa na tabia ya kuacha summary kwenye kitabu/daftari pindi nikimaliza kujisomea. Niliiacha hii summary kwenye kitabu cha rafiki yangu.
Juzi kati rafiki yangu alikuwa anafanya usafi huko kwake mara akakutana na hiyo summary akaamua kunitumia akiwa ananikumbusha jinsi tulivyokuwa tunapiga msuli(kujisomea) sumu/kifo(tulipenda kuuita hivi).
Baada ya kuniambia ''Oyaaa Mwifwa, mzee wa misuli sumu samari yako hii hapa kwenye Snell's yangu'' nikacheka sana, tukakumbushana mawili matatu about those old good days.View attachment 1856847
Wewe una mwandiko wa kike mzuri
Mimi wangu si wa kike kabisa,haueleweki uko upande gani.
Sent using Jamii Forums mobile app
ah wapi kwa humu sidhani Kama kuna mtu anakufikia aisee
I hope wimbo wenye hii tittle huwa unausikiliza!!![]()
AnatomyHiko Kitabu ni political economy,?
Hahaha hata wako ni wa kike love
Haha mkuu kama nilivyosema,bora mwenyewe nielewe maana huwa naandika haraka haraka sana.Daah hiyo Total ulifikiria nini kuikunja T na O hivyo
Hahaha hata wako ni wa kike love
ingekuwa inawezekana kweli kubadilishana basi ningekimbia mbio![]()

Kuna watu wana miandiko yao humu ila wametulia nayo.ah wapi kwa humu sidhani Kama kuna mtu anakufikia aisee
![]()
