Nani ameanzisha mtandao wa kujichaguwa?Nadhani hujui kuwa Dr Slaa aliombwa agombee urais,fuatilia utaona wananchi wengi wanavyomfagilia na kumtaka agombee urais.Wengine huwa wanasema ni rais wa miyoni mwao.Kwa hiyo wewe unaangalia pande ipi ya shilingi? Ni afadhali ya Zitto ameweka wazi azma yake kuliko huyo mnafikia aliyeanzisha mtandao wa kujichagua
Chama
Gongo la mboto DSM
Nani ameanzisha mtandao wa kujichaguwa?Nadhani hujui kuwa Dr Slaa aliombwa agombee urais,fuatilia utaona wananchi wengi wanavyomfagilia na kumtaka agombee urais.Wengine huwa wanasema ni rais wa miyoni mwao.
Fuatilia uone ni nani mnafiki,Zitto alishaulizwa kama atagombea 2015,akasema hagombei,baadaye akahojiwa akasema "watch my steps",baadaye tena akasema "ninautaka urais",hayo yote wala siyo shida,lakini style anayoitumia utaona kuwa yuko radhi kukanyanga chochote hata kama ni kusambaratisha chama chake.
Pande za shilingo zote natizama.
Deep down your heart you know ni jinsi gani Jina "Dr Slaa" linavyowatesa Masalia na Magamba. (Dr hajawahi kuutaka urais -Zitto), why then are you busy fighting him? ligic tu itakwambia kuwa vita hii si dhidi ya Dr bali ni dhidi ya wananchi ambao mnajua fika Dr Slaa ndio chaguo lao.kivuli cha zitto kinawatesa sana mbowe na slaa, nguvu kubwa wanayotumia kumchafua tangu autake uenyekiti wa chama ni kubwa kuliko ya kujenga chama, kibaya zaidi wanataka kummaliza kisiasa kitu walicho prove failure af wapo kama wachawi mana hawakati tamaa na kila mbinu wanayotumia. Zitto for presidency 2015
Hapo red sijakuelewa, huenda ulimaanisha spared.
I still have trust in Zitto.
Nasita sana kuamini kuwa this too smart boy could be tempted with money-thing!
Aidha naijutia siku ambayo kamati itagundua na kuweka wazi kuwa Zitto amepokea rushwa in the name of money or whatever token!
Heri ziku hiyo isingalizaliwa chini ya jua!
If proved guilty should go. Issue ni ushaidi tutaupata wapi? Kama kuna uwezekano wa kupata ushaidi inabidi aondoke. Km CDM watashindwa kumuondoa watakuwa wamecheza sana faulu.
mkuu ABUSENCE OF EVIDENCE IS NOT EVIDENCE OF ABSENCE, HUYO JAMAA ANAVURUGA CHAMA.KAMA NI KUONDOLEWA AONDOLEWE TU KWANI KWA MWENDO HUU WANANCHI TUTAANZA KUPUNGUZA MAPENZI NA CHAMA AFUA TUTAKOSA CHAMA CHA KUSIMAMIA,KWANI CCM HATUWEZI KWENDA NA TENA HAKUNA CHAMA KINGINE CHA KUTETEA MASILA YETU WANANCHI.KUNA MAMBO MENGINE HAYAHITAJI USHAHIDI,KWANI MTU ANAWEZA KUFANYA JAMBO AFU KISHA AKAPOTEZA USHAHIDI,AKIJUA MAHAKAMANI HAWEZI KUFANYWA KITU.LAKINI MAHAKAMA YA NGUVU YA UMMA, NDIYO INATENDA HAKI.HUYU JAMAA NASEMA ATOLEWE TU PAMOJA NA MWEZIE SHIBUDA.IMPACT YAKE NI KUA CHAMA KUTAZIDI KUWA STRONG-(HESHIMA ITAKUWEPO TU(HASA KWA MNAOWAITA MASALIA)
Sidhani kama unafuatilia issue vyema.Zitto alisema hana haja ya kuombwa na wananchi,bali yeye anautaka urais.Fuatilia acha siasa za ushabiki.Unakuwa umekariri kuwa wewe ni ccm na by default ni mshabiki wa Zitto inapokuja kwa wapinzani.Sasa kwa taarifa yako yeye alisema kuwa kusubiri uombwe ni unafiki,sikumbuki lugha sahihi aliyoitumia lakini kwa kifupi alipuuzia kauli kwamba ni lazima uombwe kugombea na akasema yeye anautaka urais na ametangaza hivyo.Nilishawahi kuweka linki ya video yenye kauli zake hizo,kama unataka nitakutafutia nikuletee,we niambie tu.Na Zitto naye ameombwa agombee na wananchi ndiyo sababu amesema ataogombea nafasi hiyo kupitia taratibu za Chadema
Chama
Gongo la mboto DSM
Fursa pekeake ya Chadema kutoka ICU kwasasa ni ya kumfukuza Zitto Zuberi Kabwe, vinginevyo mwenye masikio na uwezo wa kutunza kumbukumbu atunze maneno haya ...WATAKUJA KUJUTA MBELE YA SAFARI AND IT WILL BE TOO LATE. Nafananisha uamuzi huu na ule wa kumfukuza Edward Lowassa then CCM ikashindwa nahakika leo wanaoipenda CCM wanajutia kwanini hawakufanikiwa kumfukuza EL.
Kwanza haakuna namna Zitto atabaki Chadema kwa muda mrefu... Anazo njia mbili kubwa za kuondokea, moja ni ya kuhamia chama kingine nami naamini sio CCM. Njia ya pili ni ya kuamua kuachana na siasa anazo connections za kutosha nje ya nchi akaamua kwenda kuishi na kufanya kazi nje ya nchi... Njia zote zinafaida na hasara kwake lakini njia zote zina faida kubwa kwake kuliko hasara...
Lakini kwangu hii sio hoja ya leo... Hoja ya leo ni UAMUZI WOWOTE WA ZOTTO NA HATIMA YA CHADEMA. Akiamua leo kuondoka tu akaacha siasa wafuasi wake Chadema ambao kuna wanachama na kuna mashabiki watatawanyika kama kondoo bila mchungaji....hii haitakuwa nzuri kwa Chadema hata kidogo(japokuwa wenye mawazo mepesi watanipinga kwa hili na hata kunitukana sana) karibuni!! Akiamua kwenda Chama kingine chochote cha siasa SIO CCM, ataondoka na mashabiki na wanachama baadhi wa CDM lakini kibaya sana kwa uamuzi huu wa pili ataibomoa Chadema kwani atakuwa bado active kwa siasa za nyumbani na mitaji yake mikubwa miwili ni udhaifu uliomo Chadema na machache mazuri aliyoyasimamia kama Zitto..
Yote haya hayana faida kwa Chadema. NDO MAANA HITIMISHO LANGU LIKAWA NI BORA CHADEMA WAMFUKUZE ZITTO MAPEMA, WATAKUWA NA NGUVU YA KUMSEMA NAYE AKIWAJIBU KWA KUWASEMA ITAONEKANA NI HASIRA ZA KUFUKUZWA HATA KAMA ATAKAYOSEMA YATAKUWA KWELI...
Nani kakwambia kuwa CDM iko ICU? Je umeambiwa au kufanya utatifi juu ya shutuma nzito kama hizi? Kwanini umewamua kuwawatukana wanachama wa CDM kusema eti wanafuata kama kondoo? Je hili nalo umelifanyia utafiti? Je una biff na ZZK au CDM? Je nia yako ni kuanzisha mgogoro au kupata umaarufu?Je hapa unapochanganya EL na ZZK unamaanisha nini? Je wewe ni mwanachama wa chama gani? Una habari kuwa tuhuma zako ni kubwa ingawa hazina uthibitisho? Je wajua kuwa madai mengine humbomoa mwenye kuyatoa badala ya yule aliyemlenga?
Unauliza Chama changu KINAKUHUSU? Magwanda/magamba bhana shida tupu...hapa ni greatthinkers si vyama nyambafuuuuu! Wewe ndo uliongoza kuniita mie masalia...leo umeona rangi yangu eeeh!!??? Uwe na subira unapotaka kumhukumu mtu usikurupuke Magwanda yako!!!!
Na ikimfukuza, Itajuta zaidi!.
Ifukuze ZZK kwa kosa lipi?. The source ya yote haya ni yule snitch saa8!. ZZK amethibitisha hamjui na hajawahi kukutana nae!. Hivi ZZK angeamua kufa na mtu alimpa huyo snitch ile sumu ya panya ili amuua ZZK, leo Chadema ingekuwa wapi?.
Snitch ame confess humu jf kuwa walipanga mikakati kuihuumu Chadema!, mbona kwenye suala la sumu haja confess?.
Chadema is ZZK plus hao wengine, na hao wengine plus ZZK ndio Chadema!. Bila ZZK hakuna Chadema, na ZZK bila Chadema is equals to nothing, hivyo ZZK is there to stay!. Hakuna wa kumgusa, wa kumtingisha wala wa kumtishia nyau!.
Kama lengo ni kukisafisha chama, tuanzie juu kwa wapanga mauaji kwa kutumia sumu ya panya!.
Pasco!.
Sidhani kama unafuatilia issue vyema.Zitto alisema hana haja ya kuombwa na wananchi,bali yeye anautaka urais.Fuatilia acha siasa za ushabiki.Unakuwa umekariri kuwa wewe ni ccm na by default ni mshabiki wa Zitto inapokuja kwa wapinzani.Sasa kwa taarifa yako yeye alisema kuwa kusubiri uombwe ni unafiki,sikumbuki lugha sahihi aliyoitumia lakini kwa kifupi alipuuzia kauli kwamba ni lazima uombwe kugombea na akasema yeye anautaka urais na ametangaza hivyo.Nilishawahi kuweka linki ya video yenye kauli zake hizo,kama unataka nitakutafutia nikuletee,we niambie tu.
Unauliza Chama changu KINAKUHUSU? Magwanda/magamba bhana shida tupu...hapa ni greatthinkers si vyama nyambafuuuuu! Wewe ndo uliongoza kuniita mie masalia...leo umeona rangi yangu eeeh!!??? Uwe na subira unapotaka kumhukumu mtu usikurupuke Magwanda yako!!!!