utantambua
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,367
- 324
Nauliza tu hivi saif islam yupo kweli?
Sio wahuni wa Benghazi, acheni kuwa walafi wa pesa za Ghadaffi....
Watakuwa ni biggest looser to hao RSA. Nilidhani kwa uchumi wao wangeweza kuonyesha leadership skill kama wasemaji wa Africa kwenye internation scene lakini wapi. Akili ya mswahili ni bure kabisa. Sasa wakigomea huo mkutano ndio itasaidia nn? Si waende basi wakaonyeshe hizo frustration zao huko? Wanafiki wakubwa wao si ndio walikubaliana na UNSC kupeleka majeshi ya NATO Libya?
Umesahau mchango wa Gaddafi kwa SA walipokuwa wanataliwa na Makaburu? Mandela alikwenda kumuona Gaddafi kwa gari. SA walisadiwa sana na Gaddafi ktk Uhuru wao kutoka kwa Makaburu. Wanajaribu kutoa mchango wao kwake Gaddafi.
Lunyungu ulitaka RSA wafanyeje? Na kuhusu UNSC, makubaliano yao na walichofanya Nato ni mashariki na magharibi.Watakuwa ni biggest looser to hao RSA. Nilidhani kwa uchumi wao wangeweza kuonyesha leadership skill kama wasemaji wa Africa kwenye internation scene lakini wapi. Akili ya mswahili ni bure kabisa. Sasa wakigomea huo mkutano ndio itasaidia nn? Si waende basi wakaonyeshe hizo frustration zao huko? Wanafiki wakubwa wao si ndio walikubaliana na UNSC kupeleka majeshi ya NATO Libya?
Hiyo unayosema wewe ni nidhamu ya woga.Nakubaliana na unachosema lakini kwa wao kukataa kwenda haisaidii kitu. Ni bora wangeenda huko wakawambie hao wezi kuwa hawakubaliani na a,b,c,d,....lakini ukikaa Pretoria unalalamika wakati hao wezi wako Paris wanafanya mikakati ya kufyonza mafuta ni ujinga. Mi naona bora wangeenda wakawambie wazi kuwa ufedhuli wanaofanya haukubaliki machoni pa Waafrica.