Naona wakisema "all-inclusive" wamechagua maneno ya kuridhisha hao ambao wanataka Qadafi ashirikishe mle pia.
Maana wakati wa kufukuzwa Tripoli wasemaji wa Qadafi walisema kumbe sasa wanapenda serikali ya umoja wa kitaifa . . .
Mambo ya Libya yamekwisha. What happenned there is terrible. Ilikuwa siyo swala la propping up dictators;AU ilikuwa inataka njia za amani zitumike kwanza kuieta mabadiliko kabla ya kufanya Mapinduzi kama yale,ambayo,hata watu wa Libya wenyewe hawaombei yawafike watu wengine.
What happenned is that when Gadhafi wanted to attack Bengazi,the United Nations declared the no fly zone,and that was the end of Gadhafi.
Certainly,Gadhafi is finished now. It is all over bar the shouting. What it has revealed is a Government controlled entirely by a family,just like the king who was overthrown by Gadhadi.
As for me,ingawa wale viongozi wa Libya walisema kwamba the AU must apologize to us,must do ''damage limitations'',mimi nadhani The TNC must humble itself to the AU.
Gadhafi is a labour leaning felllow,a leftist,even as Albert Einstein was a leftist,he helped South Ameguerrilla fighers,we do not prodir from his humiliation
Mapesa waliokuwa wanahongwa na Gaddafi ndio yanayowasuta dhamila zao; hasa hizo dollar millioni mbili alizopewa Membe zinamyima usingizi kwani zitaliwa na wajanja na urais atausikia kwenye bomba tu!!
Egypt FM first Arab official to visit post-Qaddafi Tripoli
Egyptian Foreign Minister Mohamed Kamel Amr. (AFP Photo/Mohammed Hossam)
By Agence France-Presse September 15, 2011, 7:24 pm
CAIRO: Egyptian Foreign Minister Mohamed Kamel Amr travels Thursday to Tripoli on the first visit by an Arab official since the "victory" of the Libyan revolution, the foreign ministry said.
Amr, due to arrive Thursday evening in Tripoli, has been tasked by Egypt's new military rulers with examining ways of "pursuing and bolstering" ties with Libya's new authorities in the National Transitional Council (NTC), ministry spokesman Amr Rushdi said. He will be accompanied by Labor Minister Ahmed Al-Borai and will offer assistance from Egypt and outline steps for "immediate" cooperation in various sectors including ones considered a "priority" for Libya, Rushdi said.
Amr will offer cooperation to help Libya clear areas around flagship oil and industrial sites of mines sown by forces of the Qaddafi regime, and to take to Egyptian hospitals for treatment 20 critically wounded Libyans. NTC fighters had said in July that demining efforts outside such areas as the eastern oil hub Brega were being hampered, and claimed that Qaddafi forces had sown more than 40,000 mines in and around just that Mediterranean town.
Egypt also "agreed to print Libyan school textbooks," to help pupils resume school as soon as possible and not lose another year, Rushdi said.
Amr will also inform the Libyan authorities that Egypt's national carrier EgyptAir will resume flights to Libya as soon as the no-fly zone ban imposed by the NATO coalition is lifted and airports are operational.
The Egyptian delegation will also discuss the situation of Egyptian nationals in Libyan -where tens of thousands work - including those now held in jail. Egypt is also willing to train Libyans in the field of constitutional and legal practice as they strive to rebuild their institutions, Rushdi added.
Egypt, Libya's eastern neighbor, has held back until the end of August before recognizing the NTC as the legitimate government in Libya.
In February, Egyptian president Hosni Mubarak was ousted by a popular uprising that lasted 18 days.
Ousted Libyan leader Muammar Gaddafi has finally lost the official support of the African Union which had stoutly stood by him throughout the seven months of armed conflict in his country.
Five African presidents sitting on the AU ad hoc committee on Libya, who were also known to be Col. Gaddafis friends, resolved on Wednesday to recognise the Libyan National Transitional Council if it formed an all-inclusive government.
President Museveni, his South African counterpart Jacob Zuma, and Congos Dennis Sassou Nguesso, recommended that the AU should help the NTC form a unity government.
Mauritania and Mali, the other members of the committee, were represented by their ambassadors to South Africa at the one-day meeting held in Pretoria even as the whereabouts of the former Libyan strongman, who has not been since Tripoli fell to the NTC in August, remain unknown.
The AU resolution to support the NTC is an indication that the continental body now recognises the futility of opposing the transitional council as the legitimate government in Libya.
Until Wednesday, the AU had swum against the tide of Western-led international opinion, taking a generally isolated and ambivalent view of events in Libya, with some member countries backing the new dispensation, while others remained undecided or openly regretful that Col. Gaddafi had been removed from power.
Abdullahim, faida au benefits za "opportunism" unazoziona ni zipi? Tukifuata mantiki yako ni kwamba tusipompokea Gaddafi tutazawadiwa na maadui zake, yaani, US na nchi za Magharibi. Lakini hizi nchi zinachotafuta ni kuiba resources zetu, yakiwemo mafuta ya Libya. Tatizo letu, na hasa viongozi wetu, ni hiyo skewed mindset kuwa hawa watu wanatusaidia badala ya sisi kuwasaidia wao. Gaddafi, pamoja na udhaifu wake mwingine, aliliona hilo. Ndiyo sababu alikuwa anataka bara la Afrika lijiimarishe na kujenga taasisi zake yenyewe badala ya kuendelea kuwa attachment kwenye zile za watawala na wanyonyaji wetu. Hilo ndilo "kosa kubwa" alilofanya Gaddafi na ndilo lililomuondoa madarakani na huenda ndilo litalalomgharimu maisha yake. Afrika inahitaji 'Institute of Strategic Studies' ambayo itawasaidia watawala wetu wanaoridhika kuwa Matonya waliovalia designer suits kuona mambo kwa umakini zaidi. Sijui kazi ya African Union (AU) ni nini hasa?
Faida za kuwa in good terms na mabwana vita ziko wazi. Lazima tukubali kwamba kama uko economically poor, your hands are tied..ni sawa na kilema. Cha msingi ni kuangalia kwene unafuu, maana kotekote ni kubaya tu. Hata Gadafi yeye mwenyewe analijua hili ndio maana alishirikiana na Amin kutubombard. Nakubalina na wewe kwamba kuna tatizo la uongozi barani Africa. Na unyonyaji wa wazi wa rasilimali, lakini kama alivyosema JK, ili kula inabidi uliwe, hakuna free lunch ktk ulimwengu huu, cha msingi ni kuwa na viongozi watakao-negotiate the best deals ot there na hawa wazungu na wachina. Muono wangu.
INashangaza wabongo kusupport NATO involvement kwenye hii issue ambapo wamarekani wenyewe wanaona aibu kuizungumuzia. Hivi waafrika hamfikirii hawa jamaa wanajua nini wanafanya kwa manufaa yao, wana maskini milioni 46 sasa kwa nini watumie pesa kusaidia nchi nyingine. Sie tuendelee kuhukumu viongozi wetu tu wakati wao jambo lolote afanyalo kiongozi wao ni jema IRAQ??/
Africans should know this conception of Capitapolitics paridigm and the AMERICANISATION OF THE GLOBAL.It seems most of us(Africans) we are not aware on the essence of political thugs that are initiated by America under the shadow of Democracy(DEMOAMECRACY) regardless of UN and its weaked trauma of Peace.
Lets know this.
1. USA and its allies still controll African countries ref to OPEN DOOR POLICY and MONREO DOCTRINE
2.USA's policy on foreign ties
3.USA has a World Police
4.USA and Leftism
5.USA and Globalism
This brings to a simple glance that USA she is not ready to loose its hegemony hence if you dont support its mission and vision you are a threat to its interest internaly and externaly. That is why Africans who have allied with USA can not face criticism, blockade and sanctions even being Dictators in their Nation States. Eg KAGAME, MUSEVENI,KABILA, MSWATI etc.
Ukiona mtu anatoa wazo kuwa na best negotiation na mabepari basi inaitaji kuujuwa kwanza dhana ya ubepari!Ata cku moja bepari hawezi kukubari matonya afanye maamuzi ya mwisho na akikubari basi ameangalia mbele na mbali sana kitu ambacho kitamgharim matonya mbeleni.
Afrika haiwezi kuwa na nguvu(stable and strong) kama waafrika wenyewe hawajikubari kuwa weak na umuhimu wakuwa strong.Mtazamo wangu mwingine ni kupitia elimu,mpaka leo elimu ya Afrika kiasi kikubwa inaonesha kuwa waafrika tuko weak kama bado tunatumia muda mwingi tunasoma mawazo ya nje,then mentality inajengwa kuwa wazungu ndiyo wanaweza kila kitu na kutoa decision na mawazo yanokubalika.Afrika na watu wake wakijitambua basi we can be stable and strong.
you know what askari kanzu this is deadly painful once u know these white scraps manipulate our minds and destroy everything we have including our values.there is nothing called support by them to us is just to infringe us and invade our generations which is bad thing to heard.
if it was about supporting and not economic deal as french minister Franco said why NTC offered them 35% of oil share with them,i will not be excited if i will hear about south sudan on the same thing of being granted support by abroad states.
Faida za kuwa in good terms na mabwana vita ziko wazi. Lazima tukubali kwamba kama uko economically poor, your hands are tied..ni sawa na kilema. Cha msingi ni kuangalia kwene unafuu, maana kotekote ni kubaya tu. Hata Gadafi yeye mwenyewe analijua hili ndio maana alishirikiana na Amin kutubombard. Nakubalina na wewe kwamba kuna tatizo la uongozi barani Africa. Na unyonyaji wa wazi wa rasilimali, lakini kama alivyosema JK, ili kula inabidi uliwe, hakuna free lunch ktk ulimwengu huu, cha msingi ni kuwa na viongozi watakao-negotiate the best deals ot there na hawa wazungu na wachina. Muono wangu.
How about Tanzania? Bado tunawaza hizo Dola za Gadaffi? Gadaffi was damn clever, alijua wananchi wake wengi hawampendi akaanzisha kugawa pesa kwa waafrika weusi poor, angalia Niger akajenga Msikiti Mkubwa haswa na Madoido kibao, Uganda hivyo hivyo na Tanzania ndani ya Dodoma na Maeneo kibao Dar, kawapeleka kusoma Dini waislamu kibao hivyo kuwa na Base kubwa hadi Ikulu za nchi zetu.
Was that a Democracy? Zimbabwe anajua hakuna Waislamu wengi hakujenga Misikiti ila alijenga Mahoteli na pia kununua Dhahabu za Zimbabwe ambazo zimepigwa Marufuku kwenye Soko la Dunia.
Kweli alijua kututamanisha na Madola yake na huku akiwagawa wananchi wake sio kwa sababu ya Dini bali ukabila.... Nyerere aliyasema hayo yote
Miafrika akili hakuna mbona BUSH aliua watu Dunia nzima huku akisema ama uwe nao ama Adui yao mbona hamkusema kama sio ujuha ni nini? hivi kuna magaidi kuliko haoa wazungu mnaowalamba miguuu?!!! ovyooo mijitu mizima mnakaa mnawazza kusaidia saidiwa tuuu...Ghadaff japo ana mapungufu lakin alikua wa maana kuliko wengi hapa Afrika...na sasa mtaendelea kulia tu na njaa njaa zenu tulieni mliwe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.