Should African Countries Recognize The Libyan Rebels?

Should African Countries Recognize The Libyan Rebels?

Hiyo article ya Deitric Muhammad ina mantiki sana. Wengine wanaweza kui-trash lakini anachokisema ndicho kinachotokea. Chumi za nchi za Magharibi zimekuwa imara kwa sababu ya kufyonza kutoka nchi kama zetu. Ujiyo wa China na nchi zingine zinazoitwa "emerging economies" umetikisa mfumo. Matokeo yake ni hizi financial/debt/recession/unemployment crises tunazoziona US na European countries. The cancer is still spreading and is going to get worse. US kwa kujihami itaendelea kuanzisha na kupigana vita kila pembe ya dunia (kama mazoea). Mwisho wa siku vita haitaiimarisha US na mashoga zake bali itawadhoofisha kwa sababu watakuwa wana-misdirect scarce resources. Nionavyo mimi a new world order itazaliwa kutokana na vurugu hizo kama ilivyotokea baada ya Vita Kuu ya Pili ya Dunia ambapo US iliibuka kama a new superpower. Siyo ndoto kusema kuwa Vita Kuu ya Tatu ya Dunia inakaribia. Swali ni, je, Afrika itaendelea kuwa uwanja tu wa wababe na wajanja au na yenyewe itakuwa mchezaji? Sioni matayarisho.
 
Kaka,
Africa is weak and has been weak long before, lakini, kukataa au kuogopa kumpa hifadhi Gadafi it is more of effect than causal.
Ukisema ni weak kwa sababu hiyo itabidi useme kwa UK na Nato nao ni weak kwa ku-join bandwagon ya kampeni za kijeshi za USA, which is ridiculous. Dunia ya sasa inahitaji ujue kuchagua marafiki kwa faida yako mwenyewe na nchi za Africa, nyingi kama sio zote, zitapata manufaa kidogo sana kuliko faida kwa kusaidia kumhifadhi powerless outcast dictator kwanza he is about to become powerless and stripped naked of all his wealth..I think African countries are playing their cards really well. Enzi za kuwa loyal bila manufaa zimeshapita. Inabidi kuwa opportunist, hamna kingine.
Abdullahim, faida au benefits za "opportunism" unazoziona ni zipi? Tukifuata mantiki yako ni kwamba tusipompokea Gaddafi tutazawadiwa na maadui zake, yaani, US na nchi za Magharibi. Lakini hizi nchi zinachotafuta ni kuiba resources zetu, yakiwemo mafuta ya Libya. Tatizo letu, na hasa viongozi wetu, ni hiyo skewed mindset kuwa hawa watu wanatusaidia badala ya sisi kuwasaidia wao. Gaddafi, pamoja na udhaifu wake mwingine, aliliona hilo. Ndiyo sababu alikuwa anataka bara la Afrika lijiimarishe na kujenga taasisi zake yenyewe badala ya kuendelea kuwa attachment kwenye zile za watawala na wanyonyaji wetu. Hilo ndilo "kosa kubwa" alilofanya Gaddafi na ndilo lililomuondoa madarakani na huenda ndilo litalalomgharimu maisha yake. Afrika inahitaji 'Institute of Strategic Studies' ambayo itawasaidia watawala wetu wanaoridhika kuwa Matonya waliovalia designer suits kuona mambo kwa umakini zaidi. Sijui kazi ya African Union (AU) ni nini hasa?
 
Ubaguzi ni kitu kibaya sana, tena sana hasa kwenye ulimwengu huu wa utandawazi na miunganiko ya nchi na nchi kama EAC .

Lakini kama unabaguliwa ufanyaje? Ujipendekeze au?

Kinachoendelea Libya kuwatarget wahamiaji weusi ni kutokana na unafiki wao wa kujipendekeza kwa gadaffi pamoja na mamluki wenye ngozi nyeusi waloingia kule kumsaidia Gadaffi. Hili nalifananisha na hapa kwetu,watu wenye asili ya kiasia ni wabaguzi balaa,ni walarushwa na watoa rushwa balaa,ni wanafiki kujifanya wafadhili wa ccm ili kuendelea kutunyonya. Wanaishi mjini sie tunazidi kusogezwa nje ya mji!!

Hospitali nzuri za kutibiwa wao,mavogue na mav8 ni yao ....nk !huwezi ukawakuta kwenye kudai haki za jamii kwa kuwa wao ndo wanazikalia!huwezi kuwakuta kwenye vyama vya upinzani no matter what!!!

Kuna mhindi ofisini kwangu alidiriki kusema machoni kwangu kuwa akitaka kumfukuza mtu kazi anaweza kwenda polisi na kuwahonga and then kujenga mazingira unyang'anywe gari la kampuni na majambazi wa kutengenezwa alafu wafabricate kuwa umeliiba mwenyewe...na kuendelea kujitapa kuwa hapa kwenu hakuna mamlaka isiyohongeka.!

Ujasiri huu wanaupata wapi???tukipata ukombozi wa kweli wa nchi tutawapenda kweli?? Swali langu wanajF ni je kama nabaguliwa nifanyaje mie?
 
There are reports that Sarkozy will visit Libya on Thursday!


1607440_873767_640x280.jpg

ARCHIVES. Nicolas Sarkozy prepared in great secrecy, a surprise visit to Libya on Thursday. There he will meet with the new authorities of the National Transition Council, the Chairman of the CNT Moustapha Abdeljalil (here received at the Elysee Palace in April). | LP / Frédéric Dugit

The Elysee has done everything to keep the surprise until the last moment.


Nicolas Sarkozy is preparing for several days already, in the utmost secrecy, a surprise visit to Libya on Thursday. "Nothing is done yet," procrastinate his entourage, as the visit is high risk and will be very secure. The Head of State, who was the initiator of the NATO intervention against Colonel Gaddafi wants to go to Benghazi, a stronghold of insurgents in the east but also in Tripoli, the capital released late August. (Translated from French)

Source: In French!

We are back in 19th Century!
 
David Cameron Arrives in Libya

David Cameron has landed in Tripoli in the first visit of a major Western leader to Libya since the fall of Col Muammar Gaddafi.

Mr Cameron, the Prime Minister, was joined by Nicolas Sarkozy, the French President, on a visit to meet Libya's new leaders.

After his plane landed, Mr Cameron was greeted at Tripoli airport by Mr Jalil and the head of the NTC's executive board Mahmoud Jibril, as well as the UK's special representative Dominic Asquith.

The leaders are expected to announce a package of assistance to support the country's transition after the end of Gaddafi's 42-year-rule.

Politicians have already had to counter allegations that the visits are intended to guarantee valuable deals for British and French firms.

Francois Baroin, the French finance minister, said the trip was not about economic deals but rather to show support for the rebels.

Mr Baroin, speaking on France-Info radio, said it "is a strong gesture, it is a historic moment to go today to Libya".

Asked whether there were economic arguments for the visit, Mr Baroin said: "We are not at that stage."

Earlier this month, the leaders of the National Transitional Council dismissed suggestions that promises of big deals had been made to Western countries in return for military support.


The visit of the two leaders is, as might be expected, surrounded by secrecy and tight security.
The rebel fighters were reported to have attempted to clear an area of 30 square kilometres of weapons to try to guarantee the politicians' safety.


Mr Sarkozy, who was expected to be accompanied by French philosopher Bernard-Henri Levy, seen by many as a driving force behind the French decision to take military action against Gaddafi, will fly to Tripoli first and then the rebel stronghold of Benghazi.

Jeffrey Feltman, the US assistant secretary of state on Wednesday became the most senior international visitor to arrive in Tripoli since the fall of Col Gaddafi. Read more



The Telegraph
 
"Francois Baroin, the French finance minister, said the trip was not about economic deals but rather to show support for the rebels." I disagree with this minister that, this was not economic deal, this was economic deal especialy, petroleum deal.
 
Ohhhh....Irag oil was for America, Libya oil for French and British.
 
610x.jpg

French President Nicolas Sarkozy (L) and British Prime Minister David Cameron (R) arrive at the Corinthia hotel in central Tripoli on September 15, 2011.
610x.jpg

A French presidential airplane is seen on the tarmac at the Maatika airport in Tripoli on September 15, 2011
610x.jpg

A French military helicopter hovers over the tarmac at the Maatika airport in Tripoli on September 15, 2011. French President Nicolas Sarkozy arrived in Tripoli for a joint visit with British Prime Minister David Cameron following the fall of Moamer Kadhafi's regime

Photo: AFP/Getty
 
Ulaji huo...wakubwa wanafaidi na wanyonge wanaumia 🙂
 
Libya: AU to work with NTC on unity govt
Thu, Sep 15th, 2011
Museveni-at-AU-meeting-in-South-Africa.jpg

President Museveni at AU meeting in South Africa.

Photo by PPU.

The one-day AU high level Ad hoc committee on Libya that took place in Pretoria, South Africa on Wednesday has committed itself to working with the National Transitional Council (NTC) and other Libyan stakeholders towards the goal of the early establishment of an all-inclusive national unity government in Libya.

The French and British leaders arrived in Libya on Thursday to congratulate the new rulers they helped install, but families fleeing besieged bastions of ousted strongman Muammar Gaddafi are a reminder that peace is still far off. The visit is a victory lap for Nicolas Sarkozy and David Cameron, who defied doubters at home to lead a NATO bombing campaign that succeeded in ushering in a victory by forces who swept away Gaddafi's 42-year rule last month.

The Committee also encouraged the African Union Commission to do the same.

This is contained a 3-page communiqué that was issued at the end of the AU high level committee meeting on Libya that was held at the Government Guest House in Pretoria. It was attended by Presidents' Yoweri Museveni of Uganda, Jacob Zuma of South Africa and host of the meeting as well as President Dennis Sassou Nguesso of Congo Brazaville. Mauritania, whose President is the Chairman of the Committee was represented by its Ambassador to South Africa and Mali, another member, was also represented by its envoy in Pretoria.

The meeting was also attended by the Chairman of the African Union Commission Dr. Jean Ping and the Commissioner for Peace and Security, Ambassador Ramtane Lamamra.

Source
 
Wanafiki tu! Walikuwa wanadhani Ghaddafi hataangushwa ndo maana walikuwa wanaogopa ogopa kuonesha misimamo yao halisi.
 
Yeah.
Kama kutakuwa na all-inclusive national unity government then it's ok..
 
Nyie si mnajifanya hamuungi mkono, endeleeni kulia lia tuu, kudadadeki
 
Back
Top Bottom