Shoo za Mapenzi za Kihuni

Shoo za Mapenzi za Kihuni

Mhh, mbona wajiwekea uzio jaman, saiv huku watu wameongeza ujuz, utundu na maufundi juu ya show za kihuni. Karibu ujifunze
doh!
Mume katoka kunipa show ya kihuni jana ya mwaka 2018 sina hamu ya kurudi nyumbani
nimekuja kulala hotelini kwa siku 2 nipumzishe chiu yangu
 
Mimi bado naendelea kusema ukweli mpaka Yesu arudi
Sijaja huku kupendwa nina Mungu, Malaika, Yesu, Mume, Watoto na Wajukuu wanaonipenda kila siku inanitosha

Kuna zile shoo za Kihuni (hapa wanaume tu wataanza kunielewa)
Shoo za Kihuni ukipewa hizi na mwanaume wako hata uolewe mara 5 na waliokuoa wote hawajawahi kukupa shoo za Kihuni lazima tu utakumbuka mti wako wa Kwanzaa kama nyani anavyokumbuka mti wake wa Kwanzaa aliojifunzia kuruka

Waume wetu hawa wanakubali na wanapenda kuwapa wake zao shoo za Kihuni (lakini sio michezo ya kuzama mavini ) kwa sababu zifuatazo:
1. Kumlinda na kumhifadhi mkewake hata akichepuka amkumbuke mumewe
2. Kumchunguza kama mkewe alikuwa malaya au kiruka njia au mwoga (hajui-katulia)

Sasa wanapokosea akina mama na dada wenzangu ni padogo tu:
A.We ushapewa shoo ya Kihuni na mumeo au bwanako baaada ya kujikausha kuwa ni shoo mpya kwako (hata kama unaijua), unaanza kumrekebisha bwanako unamwambia sio hivi ni vile
B. Ukigombana na bwanako unaanza kumwambia ndio mana haupo vizuri kitandani kama wenzako

Me bado naendelea kusema shoo za Kihuni ndio zinalinda ndoa (uchumba) ndio zinazofanya wachumba kuingia kwenye ndoa fasta

Me na uzee huu bado narudia shoo ya 5 ya Kihuni ambayo mume wangu alinipa. .. dah ile shoo kudadeki nikiikumbuka silali na yeye anakuwa ashajipanga kunipa shoo ya mwaka 2018 me nadai shoo namba 5.. taaaamu iyo kiru ndoroooboeee

Wanaume nadhani mmenielewa naombeni muendelee kujifunza shoo za Kihuni mana ndio zinalinda ndoa

Nyie akina dada endeleeni kukosoa wadogozetu na kaka zenu na bwana zenu kuwa hawajui kuwapa shoo za Kihuni

Ni hayo tu kwa Leo

shoo za kiuni ndo nn kupakua matope au cjaelewa
 
Corrections:

Hizo sio sababu za sisi wanaume kupiga/kupendelea kupiga shoo za kihuni.

Sababu ni kwamba ni fantasy yetu.
Ndio maana porn inauza sana kuliko kamasutra.
 
Unitukane mara ngapi??? Ushaniita MUHUNI (a.k.a Angel Of Sin), japo sina cheo hicho. Well, generosity is one of my best quality, having the uncanny ability to give my opinions without expecting anything in return[emoji4]

Halafu pengine mi ni sawa na mdogo wako sijui wangapi huko katika familia (25 years of age).
hii vocabulary ulotumia nimekubal big up
 
Mimi bado naendelea kusema ukweli mpaka Yesu arudi
Sijaja huku kupendwa nina Mungu, Malaika, Yesu, Mume, Watoto na Wajukuu wanaonipenda kila siku inanitosha

Kuna zile shoo za Kihuni (hapa wanaume tu wataanza kunielewa)
Shoo za Kihuni ukipewa hizi na mwanaume wako hata uolewe mara 5 na waliokuoa wote hawajawahi kukupa shoo za Kihuni lazima tu utakumbuka mti wako wa Kwanzaa kama nyani anavyokumbuka mti wake wa Kwanzaa aliojifunzia kuruka

Waume wetu hawa wanakubali na wanapenda kuwapa wake zao shoo za Kihuni (lakini sio michezo ya kuzama mavini ) kwa sababu zifuatazo:
1. Kumlinda na kumhifadhi mkewake hata akichepuka amkumbuke mumewe
2. Kumchunguza kama mkewe alikuwa malaya au kiruka njia au mwoga (hajui-katulia)

Sasa wanapokosea akina mama na dada wenzangu ni padogo tu:
A.We ushapewa shoo ya Kihuni na mumeo au bwanako baaada ya kujikausha kuwa ni shoo mpya kwako (hata kama unaijua), unaanza kumrekebisha bwanako unamwambia sio hivi ni vile
B. Ukigombana na bwanako unaanza kumwambia ndio mana haupo vizuri kitandani kama wenzako

Me bado naendelea kusema shoo za Kihuni ndio zinalinda ndoa (uchumba) ndio zinazofanya wachumba kuingia kwenye ndoa fasta

Me na uzee huu bado narudia shoo ya 5 ya Kihuni ambayo mume wangu alinipa. .. dah ile shoo kudadeki nikiikumbuka silali na yeye anakuwa ashajipanga kunipa shoo ya mwaka 2018 me nadai shoo namba 5.. taaaamu iyo kiru ndoroooboeee

Wanaume nadhani mmenielewa naombeni muendelee kujifunza shoo za Kihuni mana ndio zinalinda ndoa

Nyie akina dada endeleeni kukosoa wadogozetu na kaka zenu na bwana zenu kuwa hawajui kuwapa shoo za Kihuni

Ni hayo tu kwa Leo

Hizi shoo kwaajili ya mke ama wa kudumu...!

Kuna nilicheza rafu ya shoo ya kibabe na ya kihuni..

Dogo kaniganda kama ruba..

Sahizi siwezi tena ikiwa tu na mpango naye kazi ntaifanya ipasavyo...

Maana lazma ni special kwa shoo za kibabe na za kihuni.. Ni hatari
 
hongera
asante kwa promo
watakufuata pm
 
Back
Top Bottom