Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,397
- 191,510
Show za hivyo uwe na mke tena asiwe mambo mengi. Wewe mume pia usiwe mambo mengi!We Acha uoga wee
watu wanacelebrate miaka 50 ya ndoa ukiuliza siri wanakwambia shoo ya kihuni Na ukimwi hawana
Hapa hatuongelei mambo ya tigo hapana
Sasa kwa style ya vijana na wanawake wa kuokota okota hovyo unadhani kitachofata ni nini hapo!