titimunda
JF-Expert Member
- Nov 26, 2014
- 7,565
- 9,813
ila tuache masihara huu mziki wa genre ya singeli ndo bongo fleva ya kizazi kipya ni aina mpya ya muziki na itakuja kuwa popular sana nyakati zijazo.hawa kina man fongo dogo nigga sholo mwamba na wengineo watakuja kuwa ma legend baadae.ukiangalia historia ya huu mziki inakuja kufanana na jinsi reggeae na dancehall zilivyoanza.