Nlovoona I'd yako mkuu nkajua ndo wewe Sholo mwenyewedah!! hicho kizazi cjui kitakuea na hali gan
Mkuu mbona id yako inareflect mzik wenyeweNdio mana Stars haisongi mbele, mmemuona yule dogo???
hahahahah ninayo clips yake hiyo unambiwa mwaga maji mwaga maji tucheze kama kambaleKuna video nyingine imesambaa ya uswazi wanacheza wanaume kama wamevurugwa wimbo unaitwa Kambale...khaaaa
Mkuu naipatajehahahahah ninayo clips yake hiyo unambiwa mwaga maji mwaga maji tucheze kama kambale
Naweza kukulushia ila nifupi kama sekunde arobaini hiviMkuu naipataje
Ebana nrushie inbox mkuuNaweza kukulushia ila nifupi kama sekunde arobaini hivi
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Nazikubali sana ngoma mbili za singeli...
1. Piga Msamba
2. Chupi mnato
Teh teh teh
Chupi la Man Fongo mnato aiyaya
Chupi la Man Fongo mnato aiyaya