Shocking News; Kweli ndio tumefika huku?

Shocking News; Kweli ndio tumefika huku?

Kiranga wewe ni useless kabisa sitaki kubishana na wewe unanipotezea muda tu hapa. umen'gan'gania point ya mimi kuongea na huyo lab tech. Ndio nimeongea naye kama imekuuma nenda kashtaki naona una maneno mengi sana siwezi kupoteza muda kubishana na wewe kwa hoja kwani naona haina maana yoyote. Huna la kufanya uko bored na thread nyingine ndio maana umeona u sticky hapa na kuanza kujenga vihoja vyako vya ajabu ajabu hapa.

Hapana,

Ukweli ni kwamba unataka JF yote iangalie mambo kwa jicho lililojaa makubaliano ya rakadha na kukosa tahini zitokanazo na kudurusu mambo kwa kina.

Halafu kwa akili nyepesi unachukulia mduruso wangu -unaoangalia mambo, na si watu- kama shambulio juu yako kiasi cha kusema "kama imekuuma".

Kwa mitizamo hii ya kuangalia matatizo kijuujuu, hatuwezi kushinda vita dhidi ya UKIMWI.

Watu wakiwa hawaji kupimwa kwa sababu wanahofia hawa ma Lab Technician wetu watatoa habari zao, tunaweza kuwalaumu?
 
  • Thanks
Reactions: EMT
halafu huyu Kiranga =jmakamba huyu eti ndiye naibu waziri. Hawa jamaa wamezoea sana kuficha ficha vitu hata mikataba wanaisaini kimya kimya ndio maana mambo kama haya wanajifanya eti ni siri yao wanakalia data i compare them with mohamed ali.. Nchi inateketea ila bado wamenyamaza tu wanadai eti ni privacy..this is STUPIDITY.

Hahaha,

J Makamba hana nasaba wala mtazamo sawa na wangu hata kwa mbali.

Unajionyesha ulivyo varuvaru.
 
i dont know whts wrong with these m***rs who critising me where.. I dont nderstand you guys. What is my mistakes? Lab tec is x, place is x, and you re not sure about the validity of my thread.so whats ya problems? Wake zenu ndio wameenda kupima leo? Mbona kimewauna sana guys? Acheni mipasho sitaki mipasho hapa nimeleta kitu ambacho kikinyamaziwa kinaweza kuimaliza jamii

Tatizo unaona tuna ku criticize wewe.

Unashindwa kuona wewe ni mtu mmoja tu, kinachoonglewa hapa ni issues na si wewe.

No wonder huelewi mambo ya policy, ethics and methodology.

You are too smallminded to see beyond your nose.
 
Tatizo watu wengi wako comfortable sana na simplification, na ukiwapa nuances zinazosababisha tuwe na professional ethics zinazokataza ku discuss kazi in this light wanakushangaa.

Ndiyo maana wanaona Lab Tech kuongelea mambo ya kazini kwake in the given light kuwa poa tu, after all si ana highlight tatizo? Hawajali methodology na implications given human nature.

Halafu hawahawa ndo kesho wepesi sana kupiga makelele ya ufisadi.

Kumbe hata kuvunja faragha za watu wanaoamini clinics na hospitali ni ufisadi pia.

Hapo kavunja right ya nani? una kipindupindu ama gonjwa kama hili la ukimwi then hutaki watu wajue na unaendelea kuwaambukiza wengine kisa privacy? What a wondefully concept..
whiteman brain washed eti msiwanyanyapae but wao wazungu wakikuona una ukimwi wanakudepot kabisa hawataki kabisa .. Sisi huku eti tunanyamaza na kujifunika na fimbo. na watu kama nyinyi ambao ni brain washed ndio mnaoiongoza nchi yetu. Its a big problem ndio maana hata hatuendelei.
 
Tatizo unaona tuna ku criticize wewe.

Unashindwa kuona wewe ni mtu mmoja tu, kinachoonglewa hapa ni issues na si wewe.

No wonder huelewi mambo ya policy, ethics and methodology.

You are too smallminded to see beyond your nose.

kuna mambo mengine hizo policy, ethics etc inabidi zisifuatwe ili kuokoa jahazi so you are too smallminded to see beyong your nose
 
Hapana,

Ukweli ni kwamba unataka JF yote iangalie mambo kwa jicho lililojaa makubaliano ya rakadha na kukosa tahini zitokanazo na kudurusu mambo kwa kina.

Halafu kwa akili nyepesi unachukulia mduruso wangu -unaoangalia mambo, na si watu- kama shambulio juu yako kiasi cha kusema "kama imekuuma".

Kwa mitizamo hii ya kuangalia matatizo kijuujuu, hatuwezi kushinda vita dhidi ya UKIMWI.

Watu wakiwa hawaji kupimwa kwa sababu wanahofia hawa ma Lab Technician wetu watatoa habari zao, tunaweza kuwalaumu?

Kiranga nani aliyekuambia kuwa watu i mean watanzania wanapenda kupimwa afya zao? BIG NO. Watanzania hawapendi na hawana hulka ya kupima ukimwi. Na hao waliopimwa hapo nimesena ni wakina mama wajawazito. Hawa wakienda hospitali lazima wapimwe ili kujua hali ya mama na mtoto(you see how ya small minded chicken brain ) so mpaka sasa hivi watz hawaendi kupim pima tu kama wewe unavyolazimishwa kupima kila mwaka huko ulipo ughaibuni.
 
Kiranga sorry mr man kuna sehem nimetumia maneno makali dont take it too serious.
 
Last edited by a moderator:
kuna mambo mengine hizo policy, ethics etc inabidi zisifuatwe ili kuokoa jahazi so you are too smallminded to see beyong your nose

Unaweza kutoboa jahazi ili upunguze maji yaliyoingia chomboni huku upo baharini, huku hujui kwamba unazamisha zaidi jahazi.

Walioweka confidentiality frame si wajinga hivyo.

Na hujatushawishi kwamba wewe na nduguyo mko impeccably above human nature.
 
Pointless. Use your brain in arguing dont just write but the fact that some geniuses were laughed
at me does not imply that all who are laughed at are genius and some fool like you kiranga may laugh at me , but wise man will know what i mean
 
Kwanza ulichoandika kimepinda, unatupa shaka kwamba kama unashindwa kuandika kwa lugha unayoijua tu, je kweli utaweza kuelewa umuhimu wa professional ethics?

What is less than pointless here is your dismissal of true and tried ethical standards.

It is less than merely pointless because it could lead to a loss of faith in the system that would result in the unintended consequence of a vicious cycle of self destruction.

When you think you are helping highlighting the HIV problem by hapharzardly discarding proven methodologies with wanton abandon you are actually making the situation worse by undermining confidentiality.
 
Kiranga nani aliyekuambia kuwa watu i mean watanzania wanapenda kupimwa afya zao? BIG NO. Watanzania hawapendi na hawana hulka ya kupima ukimwi. Na hao waliopimwa hapo nimesena ni wakina mama wajawazito. Hawa wakienda hospitali lazima wapimwe ili kujua hali ya mama na mtoto(you see how ya small minded chicken brain ) so mpaka sasa hivi watz hawaendi kupim pima tu kama wewe unavyolazimishwa kupima kila mwaka huko ulipo ughaibuni.

Kama Watanzania hawapendi kupima afya zao, ma Lab Technicians kama nduguyo wanachangia sana.

Nani anataka kupimwa afya yake halafu kesho akawa gumzo baa?

Je kwa kutuambia hawa professionals hawa uphold ethics zao unatusaidia kututia moyo tupime au unazidi kutuonyesha tuko sawa kutotaka kupima?
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Kama anaweza kutoa siri .za wengine basi subiri zako

Kuna wakati huwa nadhani kada nyingine .za afya zinadhalilisha afya wote

Lab wakiongoza
 
Kuvunja miiko ya usiri si lazima mtu ataje jina.

ni kwanini ampeleke yeye hizo taarifa? Hata wanaofanya research huwa wanaomba ethical clearance ndo wanaruhusiwa kupublish kwa umma hizo data. Kuna kada za afya nahisi huwa hawafundishwa ethics kabisa na wana access na taarifa za wagonjwa. Wengi wao wanaishia kusimulia ndugu zao na washkaji zao. Wizara imelala usingizi wa pono. Hawa ni medical attendants, lab assistants aco, hawa wengine ni wavunjaji tu wa ethics zao.
 
Hahaha,

J Makamba hana nasaba wala mtazamo sawa na wangu hata kwa mbali.

Unajionyesha ulivyo varuvaru.

unajua ukibishana na mjinga anyayekaribia kuwa mpumbavu nawe utakaribiana naye. Achana na huyu afurahie huu upuuzi waliojadili na nduguye. Analinganisha mikataba ya madini na siri za afya za watu!!
 
Wengine tutasema hii thread yako imewa expose ma Lab Technician wa kibongo kwamba si waaminifu kwa miiko ya kazi yao.

Na kwamba bongo hakuna siri kwa mujibu wa ethics za kazi, unaweza kupima kesho ukawa subject of discussion at the Lab Technician's dinner table.

Na hivyo kuwafanya watu wasitake kupima zaidi.

Na hivyo kuongeza janga, badala ya kupunguza.

Wewe hiyo theory yako ndo inategemea other things being more than constant in favor of an unimaginably non-standard level of restrain on the part of human nature.

Wajuzi washajua ukishaanza kudiscuss mambo haya na ndugu zako, hata kama huna nia ya kutaja jina, ni rahisi kuingia katika temptation ya kutoa "personal identifiers". Ndiyo maana wakaona kuondoa mzizi wa fitina sehemu yeyote inayojali privacy hutakiwi kabisa kuongelea mambo haya katika stories za nyumbani.
Hii inajulikana tangu awali kuwa lab technicians wa kibongo si waadilifu kwa miiko yao ya kazi. Na sio hao tu hata wenye kazi za aina nyingine ni same thing. Maisha ya kibongo ni ya ku-socialize kwa sana hii inachangia watu kuongea hata vitu vya siri za kazini. Kwenye baadhi ya nchi nyingine ku-socialize ni kidogo mno na watu hawajuani kwa sana,hii inawafanya waonekane kama wanatunza siri za kazi, lakini ukweli sio huo kwani mara nyingi ukiwaambia unamjua fulani ambaye na wao wanamjua wanaanza kutiririka na habari kemkem(hata za siri).
Kwa kawaida binadamu ni rahisi ku-kiuka ethics za kazi ndio maana utakuta hata kwenye baadhi ya shule/kazini wanafundisha na wanatilia mkazo(hata kwa vitisho) kutokiuka ethics za kazi. Bila enforcement binadamu hujisahau.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Sababu hizi hizi ndizo zinazopelekea watu kutopima afya zao hususan kama anaishi kwenye mji mdogo.

Kama unaishi Iringa, hupimi hadi ukipata-trip ya Mbeya, ili kujikinga na taarifa zako za faragha kuanikwa ovyo ovyo

Lab Technician anakuambia leo kati ya sita wajawazito walokuja kupima hospitali, wanne wana VVU, na wewe unamjua mmoja aliyekwenda kupima, tayari kaibua mzizi wa fitnah. Ameweka shaka akilini mwako. Ukimuona rafiki yako anajaribu kuwa nae karibu, nawe unamtonya uliyosikia kwa nduguyo Lab. Technician. Mtungo unasambaa.....
 
Mkuu Black Bat, think you mean Lab Technician,

Duh?! Sidhani kama ni sahihi sana yeye(ndugu yako/Lab Technician) kukueleza matatizo ya clients wake, inapunguza usiri(confidentiality),

Pili inawezekana isiwe sahihi sana(False positive results) hutokea, na hovyo kuhitajika kupima tena.

Mkuu mbona wasema, "JIULIZENI mko wangapi?" Hii kitu yetu sote!!

ILA ukweli utabaki pale pale mkuu, tujihadhari(ambao hatujapata) ili tusiambukizwe, na wenye VVU kuzingatia ushauri na tiba.

Mkuu usibishe wala kushangazwa na hii habari, kwa hapa Tanzania inawezekana, mbona wafanyakazi wengi tu wa hospitali wanatoboa siri za wagonjwa. Si vizuri lakini kwa hapa Bongo it is very common.
 
ok mods msije mkafuta huu uzi naona waathirika wananishambulia kila kona but ukweli ndio huyo acheni kuendekeza umalaya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom