John W. Mlacha
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 3,504
- 1,341
- Thread starter
- #61
Sababu hizi hizi ndizo zinazopelekea watu kutopima afya zao hususan kama anaishi kwenye mji mdogo.
Kama unaishi Iringa, hupimi hadi ukipata-trip ya Mbeya, ili kujikinga na taarifa zako za faragha kuanikwa ovyo ovyo
Lab Technician anakuambia leo kati ya sita wajawazito walokuja kupima hospitali, wanne wana VVU, na wewe unamjua mmoja aliyekwenda kupima, tayari kaibua mzizi wa fitnah. Ameweka shaka akilini mwako. Ukimuona rafiki yako anajaribu kuwa nae karibu, nawe unamtonya uliyosikia kwa nduguyo Lab. Technician. Mtungo unasambaa.....
Kwani kama umeathirika hutaki kujua kama umeathirika?