Kaka nijibu basi hata hilo la "kuna aina ngapi za statistcs" ili tujua pa kukusaidia.
Unaweza kuchagua namna yoyote ya kuainisha vitu, na ukawa na aina nyingi tu.
Mtu mwingine anaweza kuchagua ku typify statistics kwa mujibu wa presentation (numerical, pictorial etc).
Mwingine akaamua ku typify kwa mujibu wa content akabase kwenye description aspect zaidi. Think Magufuri.(detailed, big picture, combination).
Mwingine akaangalia methodology zaidi aka zi typify statistics kutokana na sample spaces kubwa, za kati, ndogo et. Inferential.
Unaweza kusema kuna aina za statistic inferential na descriptive, mwingine akakwakmbia kuna numerical na pictorial, na wote mkawa sawa. Mmoja ana typify kwa mujibu wa content, mwingine kwa presentation. Mwingine anaweza kukupangia aina kwa mujibu wa utility na durability. Kwa hiyo bila kujua unachotaka ni nini swali lako butu.
Kuna namna chungu mzima, na mbali na "types of statistics" kuna "types of types of statistics". Mambo ya metadata hapo kwa wanaojua mambo ya database design yanaingia.
Kwa hiyo swali lako limeulizwa kama mtu fulani aliye cram darasani kafundishwa "kuna type hizi za statistics", in a one track minded fashion, akaona hiyo ndo gospel.
Bila ya kuelezewa zaidi swali lako halina maana kwa sababu lina majibu mengi sana.
You might as well ask me "Kuna aina ngapi za rangi ya bluu?" Au "kuna aina ngapi za accounting?". Kabla ya swali kujibiwa inabidi ueleze unauliza kutoka frame of reference gani? Unazungumzia school of thought ipi?
Unaweza kuuliza "Kuna aina ngapi za Greek columns" kwa matazamio kwamba umetoa frame of reference kama Greek Architecture na mtoa jibu anajua pa kuanzia kukupa jibu. Lakini ukiuliza "Kuna aina ngapi za columns". Mie naweza hata kusema "Columns za mama Rwakatare" kwamba ni special type ya column kwa sababu zimepata upako maalum wa kanisa ku withstand an 8.5 Richter scale earthquake, hujatoa frame of reference.
Mie si mtu wa kukariri.
Wewe unataka kuainisha statistics kwa msingi gani au kwa uanazuoni gani? Kwa madhumuni gani?
Angalia unaweza kusaidiwa na unaotaka kuwasaidia.