Ilankunda1234
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 4,840
- 4,813
Huo ndio uhuru walioutafuta kwa nguvu ya upinzani na demokrasia iloyotegemewa baada ya kumondoa dharimu wa demokrasia na uhuru wa kutoa maoni.Walibya laana ya Gaddafi itawatafuna maisha yote
Wacha nchi ijipatie uhuru wa kweli na demokrasia pevu