Yakawaida sana hayo,hata bongo hapa yanatendeka,ni kwa vile hatuoneshwi picha,
Kwanza wamefanyiwa wale mashekh wa Zenj,pili kuna jamaa walikamatwa kuhusiana na kifo cha yule billionea wa Arusha,Msuya,kwenye mahojiano waliyofanyiwa na polisi,wakikuelezea,uwezi amini kama ni bongo hapa,walitendewa unyama usio na kifani,mengi hayastahili kuwekwa hata hapa jamvini,kwa sababu ya staha,
Kwanza hao vijana,wanafata nini huko,Libya,nchi hiyo haikaliki,Uncle Sam,aliishaiaribu,
Mateso wanayofanyiwa hapo,vijana na wa "arabu" wa Libya,yasionekane ni mabaya sana,kwa sababu tu ya asili ya anayeyafanya,
Watu wa magharibi(USA,UK,Ujerumani ),serikali zao,ndio zimeifikisha hapo Libya,zamani mbona watu waliishi kwa amani,
BBC,CNN,watuoneshe pia kinachoendelea,nchi za America ya kusini,Austaria ambapo wenyeji weusi,wanasulubiwa mpaka leo