Shocking news : Jihadharini na Libya... Ni Jehanum

Mwishoni mwa mwa mwaka 2017 ulimwengu ulipata mshtuko baada ya waandishi wa BBC kutoa video inayoonesha waafrika wanachofanyiwa Libya.. Ukiachana na mateso na ukatili usio na mipaka pia walikuwa wanauzwa kwenye soko la watumwa kati ya dola za kimarekani 40- 300....
Baada ya pale zikafuatia video na picha za mateso... Lakini pia na shuhuda mbalimbali za walionusurika na kurejea nyumbani salama... Huko Libya hakuna binadamu kuna mashetani.... View attachment 675514mchana wa leo zimetolewa picha nyingine na voice note inayowasihi vijana wanaokimbia nchi zao na kwenda ulaya kutafuta maisha bora., waahirishe huo mpango kwakuwa bado kuna ambao wako kwenye mateso huko, bado wako wanaoshikiliwa na kufanyiwa ukatili mkubwa... Picha ya juu inajieleza... Nyingine hizi hapaView attachment 675526una ndugu yako jamaa ama rafiki ana mpango wa kwenda huko mwoneshe hizi picha, mshauri aachane na huo mpango. Itakula kwake View attachment 675528picha zinajieleza... Tubaki na tabu zetu lakini tuko nyumbani
Na wale ma us beibe waliokuwa wanatokwa povu tukiisema vibaya marekani nanyi mshapewa dongo lenu.. Someni alama za nyakati... Mmeitwa shithole pamoja nakujipendekeza kote kule...
Sambaza ujumbe huu kwa wapendwa wako

Alamsiki[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji770]
Fungua macho na usome uelewe. Huu ni mpango mzima wa European Union kuwazuia waafrika wasiende nchini mwao na hizi habari zimethibitishwa maanake kulikuwa hakuna namna tunajipeleka tu kama ng'ombe wakati matatizo nchini mwetu tunayatengeneza wenyewe tunachagua viongozi waliojaa rushwa halafu tunalialia. Nyambaaafuu
 
Nyumbani ni nyumbani tu hakuna namna
 
Nyumbani ni nyumbani tu hakuna namna
Yani watu wanateswa, wanafanyiwa ukatili, wanauzwa na wengine kuuliwa kikatili mtu yuko na raha zake nyuma ya keyboard anasema ni propaganda za wazungu [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
 
Wale wanaojipendekeza kuweka bendera za hilo taifa kwenye magari yao ofisini na majumbani habari hii iwafikie
Hili la libya ni matokeo ya viongozi wa waafrica, kama wakikubali kuendeleza nchi zao, na kuheshimu haki, hatutapata matusi wala watumwa ndani ya Africa, bali wao ndio wanawafanya waafrica wenzao watumwa, Wa kulaumiwa na kulaaniwa ni viongozi Waafrica.
 
Na bado hata hapa tuna watu wanaoona maisha bora yanapatikana ulaya
 
  • Thanks
Reactions: Lob
Fungua macho na usome uelewe. Huu ni mpango mzima wa European Union kuwazuia waafrika wasiende nchini mwao na hizi habari zimethibitishwa maanake kulikuwa hakuna namna tunajipeleka tu kama ng'ombe wakati matatizo nchini mwetu tunayatengeneza wenyewe tunachagua viongozi waliojaa rushwa halafu tunalialia. Nyambaaafuu
Sasa kwa nini haya mateso yasitekelezwe huko ulaya wanakokimbilia hawa wazamiaji ili kuweka picha wazi kuwa huko wanakoenda ni hatari na badala yake waishie kuteswa na kuuliwa kikatili na waarabu? Hivi ni walibya wangapi waliikimbia nchi yao kipindi cha vita ya kumwondoa ghadaffi? Mbona hatujaona picha wala video za walibya wakikatwakatwa au kuchomwa moto wakiwa hai kama tunavyoona leo walibya wakiwafanyia weusi wenzetu? Kwani walibya(waarabu)ndiyo wanaoathirika sana na wakimbizi wanaopita tu hapo kwao kuelekea Italy?? Kama haya yangetokea huko Italy ningeelewa what's the motive! Ila hawa wazamiaji tena wanakwenda Libya wakiwa na fedha zao,wanalipa kwa walibya kama nauli za kuwavusha ili waingie ulaya!kwa hiyo walibya wananufaika zaidi na hawa wazamiaji ila cha ajabu wakishachukua pesa wanaishia kuwafungia kwenye magodown na kuanza kuwatesa na kuwaua wengine! Huu ni ushetani wa enzi nna enzi walionao waarabu! Watu wanatoka povu kuwatetea kwa misingi ya imani bila kujua kuwa unapofungamanisha imani yako na uovu unakuwa umeifanya hata hiyo imani yako iwe ya kishetani tu!!
 
Na bado hata hapa tuna watu wanaoona maisha bora yanapatikana ulaya
Mkuu Maisha bora sio mpaka ulaya, tunaweza kutengeneza maisha bora hapa kwetu zaidi ya ulaya, tunahitaji watu na viongozi wanaoheshimu, haki,uhuru,mawazo, maoni za watu wengine, lazima watu wawe huru kufanya vitu mbalimbali hata kama vinahatarisha maisha, kama wengine wangeogopa, tusingekuwa na ndege,bunduki,nyukilia,umeme,meli nk. lazima tuwaachie watu uwanja washindane bila upendelea, na viongozi kama wanapenda nchi zao waache kuiba fedha za nchi zao na kuweka ulaya, bila hivyo matusi na utumwa kwa africa hayataisha
 
Point taken... Thinking a great way... [emoji121] [emoji121] [emoji121] [emoji120] [emoji109] [emoji123] [emoji779] [emoji781] [emoji817] [emoji770]
 
Mwishoni mwa mwa mwaka 2017 ulimwengu ulipata mshtuko baada ya waandishi wa BBC kutoa video inayoonesha waafrika wanachofanyiwa Libya.. Ukiachana na mateso na ukatili usio na mipaka pia walikuwa wanauzwa kwenye soko la watumwa kati ya dola za kimarekani 40- 300....
Baada ya pale zikafuatia video na picha za mateso... Lakini pia na shuhuda mbalimbali za walionusurika na kurejea nyumbani salama... Huko Libya hakuna binadamu kuna mashetani.... View attachment 675514mchana wa leo zimetolewa picha nyingine na voice note inayowasihi vijana wanaokimbia nchi zao na kwenda ulaya kutafuta maisha bora., waahirishe huo mpango kwakuwa bado kuna ambao wako kwenye mateso huko, bado wako wanaoshikiliwa na kufanyiwa ukatili mkubwa... Picha ya juu inajieleza... Nyingine hizi hapaView attachment 675526una ndugu yako jamaa ama rafiki ana mpango wa kwenda huko mwoneshe hizi picha, mshauri aachane na huo mpango. Itakula kwake View attachment 675528
picha zinajieleza... Tubaki na tabu zetu lakini tuko nyumbani

Na wale ma us beibe waliokuwa wanatokwa povu tukiisema vibaya marekani nanyi mshapewa dongo lenu.. Someni alama za nyakati... Mmeitwa shithole pamoja nakujipendekeza kote kule...

Sambaza ujumbe huu kwa wapendwa wako

Alamsiki[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji770]
Wengi humu nawaona wanaunga pumba na propaganda za TL. Kama hamjui angalieni Libya nchi iliyokuwa na neema sasa ni kuzimu
 
Back
Top Bottom