Shocking news : Jihadharini na Libya... Ni Jehanum

Shocking news : Jihadharini na Libya... Ni Jehanum

Mbona kama ni mateso hata humu tz yapo? Tena mengi na watu wengine wamepotea hatujui walipo, so sad, Afrika ndivyo ilivyo
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Usimuamini mwarabu kwahali yoyote ile. Hata skumoja hawawezi kumuona mtu mweusi ni binadam.. Asikudanganye kwadini wala kwa upendo hao nimbwa tu haijalishi nimtoto kijana au mzee
Wakija huku kwetu tunawatukuza na kuwaita wawekezaji
 
Waislam wabaya sana. Huwezi mfanyia binadam mwenzako hivyo

Mimi NI Mkristo Napinga Kauli Yako Wala Sikubaliani Na Hilo
Kwani Hakuna Wakristo wanofanya ukatili na unyama kuzidi huo?
Wachawi kibao, wanaotoa kafara ndugu zao kibao sasa kuna utofauti gani?
Next time masuala ya imani usiingize na personality
Na Trump Utamsemaje Kwa nafasi ya dini yake?
Think Wisely
 
Waambie na wale wanaoiona ISRAEL kama kwao au kwa ndugu zao,nao ni SHITHOLE NA ASSHOLE.
Waache kujipendekeza.
Yerusalemu siyo nyumbani petu kwa sasa, lakini soon very soon patakuwa ndiyo home. Tunamsubiri MESSIAH, siku akija tu, atatuchukua na kutupeleka Yerusalemu, home sweet home.
Jerusalem.jpg
​
Our new home Jerusalem, ooh!, Jerusalem, I can't wait to be there!
Na uje upesi BWANA wetu YESU KRISTO.
 
Hizi ni propaganda za kutisha watu ili kupunguza idadi ya wakimbizi waendao ulaya, bila hizi picha tatizo hili lingeongezeka, atleast sasa watu wanaogopa na idadi yao imepungua, napendekeza wataalam wa 'make-up' toka hollywood waliofanya movie ya 'SAW 3D'watumike kuboresha hizi picha.
Hii kitu ni real. Wiki mbili zilizopita Nigeria imefanya mazungumzo na Libya kuomba wafungwa wote (wazamiaji) raia wa Nigeria walioko Libya warudishwe Nigeria. Sababu ya kufanya hivo walisema ni kutokana na mateso wanayopata watu wao kwenye magereza za Libya.
 
Back
Top Bottom