Shocking news : Jihadharini na Libya... Ni Jehanum

Shocking news : Jihadharini na Libya... Ni Jehanum

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,453
Reaction score
872,052
Mwishoni mwa mwa mwaka 2017 ulimwengu ulipata mshtuko baada ya waandishi wa BBC kutoa video inayoonesha waafrika wanachofanyiwa Libya.. Ukiachana na mateso na ukatili usio na mipaka pia walikuwa wanauzwa kwenye soko la watumwa kati ya dola za kimarekani 40- 300....
Baada ya pale zikafuatia video na picha za mateso... Lakini pia na shuhuda mbalimbali za walionusurika na kurejea nyumbani salama... Huko Libya hakuna binadamu kuna mashetani....
IMG-20180114-WA0028.jpg
mchana wa leo zimetolewa picha nyingine na voice note inayowasihi vijana wanaokimbia nchi zao na kwenda ulaya kutafuta maisha bora., waahirishe huo mpango kwakuwa bado kuna ambao wako kwenye mateso huko, bado wako wanaoshikiliwa na kufanyiwa ukatili mkubwa... Picha ya juu inajieleza... Nyingine hizi hapa
IMG-20180114-WA0027.jpg
una ndugu yako jamaa ama rafiki ana mpango wa kwenda huko mwoneshe hizi picha, mshauri aachane na huo mpango. Itakula kwake
IMG-20180114-WA0026.jpg

picha zinajieleza... Tubaki na tabu zetu lakini tuko nyumbani

Na wale ma us beibe waliokuwa wanatokwa povu tukiisema vibaya marekani nanyi mshapewa dongo lenu.. Someni alama za nyakati... Mmeitwa shithole pamoja nakujipendekeza kote kule...

Sambaza ujumbe huu kwa wapendwa wako

Alamsiki[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji770]
 
Huwa nahisi kama wazungu wana kampeni ya kuwaogopesha waafrika wasizamie kwa kuweka haya mapicha na habari za boti kuzama. Mi nasema waafrika wakomae, huku hakuna future.
Kwamba hizi picha sio halisi? [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
 
Kwamba hizi picha sio halisi? [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
Wanaweza wakatengeneza picha halisi au kupiga matukio halisi. ili kuzidi kutisha waafrika kuzamia. Unafikiri kwanini habari za kuzama kwa waamiaji na mateso wanayopata zintolewa sana na wazungu. Lengo si kusaidia waafrika bali kuwatisha wasiende ulaya. Sisemi kuwa hawateseki bali naquestion motive ya wazungu kuvalia njuga haya masuala.
 
Mmh ok I think ni kwa vile wenzetu wanapenda kuyapa mambo uzito unaostahili na funds hutumika kama zinavyotakiwa
 
Waambie na wale wanaoiona ISRAEL kama kwao au kwa ndugu zao,nao ni SHITHOLE NA ASSHOLE.
Waache kujipendekeza.
hahaaa wanaajikuta wana waisraeli wakati wanatokea mbagala kiburugwa ..wengine hata ukiwa uliza netanyahu ninani hawamjui ..
kiongozi wao mkuu hawamjui wakati wanajiita waisrael daahh
 
Back
Top Bottom