Shirika la kijasusi la Urusi, FSB limesema Warusi walio ondoka Urusi watimia milioni 4 ndani ya muda mfupi - hakukaliki

Boris Bondarev, mwanadaplomasia mzoefu wa Russia katika ofisi za UN Genevea amejiuzulu katika kazi yake akiandika barua kali inayosema anaona aibu kuhusishwa na matendo nchi yake kwa sasa na hawezi kuwa sehemu ya kinchoendela. Pia ameandika Putin ameigeuza Russia kuwa igizo la hofu kuu.
Sasa waache Hawa WARUSI wa Buza waendelee kumpamba Putin,wenye kumjua in&out ndio wameshajiondoa huko🤔
 
Sasa papa ana nini cha maana yeye afunge na kuomba asijiingize kwenye siasa
Siasa mbovu wanaoumia ni watu na kwa hali hiyo kiongozi yeyote wa kidini kunyamaza ni unafiki, ndio maana Askofu Janan Luwum alimshutumu Amin Dada kwa utawala wa kiimla kabla ya Amin kumuua.
 
Wengi wamekimbilia mataifa majirani na kwingine, japo wametumia mgongo wa kwamba wanakwenda kufanya kazi ila Urusi hakukaliki, taifa linapitia hali ngumu na ndio mwanzo tu....
FSB wameanza kutisha familia zao wawashawishi warudi, la kushangaza kunao wametorokea Ukraine kule ambapo kichaa Putin ameangukia pua kwa kuanzisha vita ambvyo vimemshinda.

06_05-Russians.png

More than 3.8 million Russians have left the country in the first three months of 2022, according to data from Russia’s Federal Security Service (FSB) published this week.

A total of 3,880,679 Russians traveled for work, business, tourism and private reasons between January and March.
Former Soviet countries saw significant spikes in arrivals after Russia invaded Ukraine on Feb. 24. Russians who fled out of opposition to the war were joined by those escaping rumored border closures, martial law and mass mobilization that have so far not materialized in the 72-day war.

It’s unclear how many of these Russians have since returned to their home country.

Georgia accepted 38,281 Russians in the first quarter of 2022, the FSB said, a nearly fivefold jump from the 8,504 Russians accepted over the same time last year.

A nearly fivefold increase was also seen in Tajikistan, where 40,054 Russians arrived this January-March compared with 8,857 in January-March 2021.
Urusi ubakie kufanya nini wakati makampuni yameshaondoka kwa vikwazo.
 
Nchi ya kijasusi hiyo.. Miongoni mwao wengi Wana kazi maalum. Angalia tuu Aina ya nchi walizoenda.. Wanaji associate nao na kupata sympathy ya kutosha baadaye Dunia ikichafuka ndio utajua Hilo ni jeshi mlilolikaribisha. Watu wanafikiri na ku predict yajayo usidhani kila linalotokea ni kwa bahati mbaya. Narudia chunguza vizuri hizo nchi walizoenda in relation to source ya mgogoro huu since... 1990's.
 
Hawa ndio wajinga wanapandikizwa na EU na kupewa mahela ya kutosha na hifadhi, kwani vita imeanza leo? kwanini hakujiuzulu mwanzoni?
Mkuu yapaswa ufahamu wazungu sio waswahili wa pale Tandale kwa mtogole., tokea anajuzulu hiyo nafasi tayari ameshasamehe kila kitu na kuuona ubinadamu, kama shida ni hela kwanini asingengangania hiyo ajira yake? wewe wa tandale utangangania hela kwa sababu ya njaa
 
Nchi ya kijasusi hiyo.. Miongoni mwao wengi Wana kazi maalum. Angalia tuu Aina ya nchi walizoenda.. Wanaji associate nao na kupata sympathy ya kutosha baadaye Dunia ikichafuka ndio utajua Hilo ni jeshi mlilolikaribisha. Watu wanafikiri na ku predict yajayo usidhani kila linalotokea ni kwa bahati mbaya. Narudia chunguza vizuri hizo nchi walizoenda in relation to source ya mgogoro huu since... 1990's.

Mjilishe upepo ila kimsingi watu wanaikimbia Urusi.... Miji imekua kama ghost cities, biashara haziendi.
 
Mkuu yapaswa ufahamu wazungu sio waswahili wa pale Tandale kwa mtogole., tokea anajuzulu hiyo nafasi tayari ameshasamehe kila kitu na kuuona ubinadamu, kama shida ni hela kwanini asingengangania hiyo ajira yake? wewe wa tandale utangangania hela kwa sababu ya njaa
Vita imeanza jana? siku zote hakuona hayo madhara? jibu swali usijifanye we ni wa NY
 
We ni maamuzi mangapi unafanya ukiwa umechelewa? Na kuanza kutumia neno ungejua

We unajua hatua alizokuwa anazifata!

Basi hapo umejiona umeuliza swali gumu
Anabadilisha nini kwa kujiuzuru kwake, au kuna athari gani kwa utawala wa Putin, Mbona kuna mameya kama watano wamejiuzuru mwanzoni mwa hili sakata na operasheni inaendelea?
 
Back
Top Bottom