Ni kiona lile bichwa la nape kama box naonaga anabahati sana kwa kweli ya kuwa zero brain hadi kuwa waziri wa wizara inayohitaji akili kubwaKwenye mitandao ya kijamii miongoni mwa mashirika yaliyotajwa kujiendesha Kwa Hasara ni shirika la TTCL mpaka imefika hatua inashauliwa yakuwa lianchane na biashara ya kuuza line libakie kusimamia barua za sanduku la posta na mkongo wa Taifa.
Kabla halijajibu Hoja Kwa Nini linajiendesha Kwa Hasara linaandaa FUTARI NA MGENI RASMI NI WAZIRI WA HABARI, fedha za kuandaa futari zimetoka wapi?mnaendelea kututia hasara hivi kama mti husio zaa UNAAMBIWA ungolewe shambani hauna tija,wewe uzalishi unakulaje?
Sisi WANANCHI tuliopo huku Aliko aliyekuwa anaongoza shirika ilo tupo mbioni kumfukuza haiwezekani tuongozwe. Na mkuu wa mkoa aliyearibu shirika la Umma nyie mnandaa futari?na picha mnapiga mnavyosonsomora aise?
Fikirieni mara mbili!.
View attachment 2585988View attachment 2585989View attachment 2585990View attachment 2585991
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari,Nape Nnauye (Mb) amekuwa Mgeni Rasmi katika Futari iliyoandaliwa na Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) katika Hoteli ya Johari Rotana, jijini Dar es Salaam Tarehe 12 Aprili, 2023.