Bossi wa ATCL akiri kuwa ripoti ya CAG ni ya ukweli, shirika linajiendesha kwa hasara kwa mwaka 2017/18 wana hasara ya bil 16

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Bosi ATCL aikubali ripoti ya CAG

Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL), Ladislaus Matindi
By Ephrahim Bahemu na Kelvin Matandiko, Mwananchi.

Akifafanua, Matindi alisema kupungua kwa hasara hiyo kunatokana na hatua kadhaa zilizochukuliwa za kupunguza matumizi yasiyo ya lazima na kuwa na adabu katika manunuzi yanayofanywa.

=======

Dar es Salaam. Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL), Ladislaus Matindi amesema kilichoelezwa katika ripoti ya mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za Serikali ndiyo uhalisia wa mwenendo wa shirika hilo.
Jana akizungumza na Mwananchi, hata hivyo, Matindi alisema kwa sasa kuna mabadiliko chanya katika ukuaji kibiashara na mwenendo wa shirika hilo kutokana na hatua zilizochukuliwa kulifufua.

Ripoti ya CAG iliyotolewa mapema wiki hii ilisema mashirika 14 ya umma yanamatatizo ya kifedha na hasara hadi kusababisha madeni zaidi ya mitaji yao ikiwamo ATCL.

Matindi alisema shirika hilo limepunguza kiwango cha hasara kukoka Sh38.72 bilioni mwaka 2005/2006 hadi Sh16.21 mwaka 2016/2017.

“Hasara imepunguza mtaji wa shirika mpaka kufikia mtaji hasi. Kwa miaka mitatu ya karibuni nimeanza kuona mwenendo mzuri wa shirika maana hasara imepungua kwa asilimia 58,” alisema ripoti ya CAG.

Ripoti hiyo ilisema kupungua kwa hasara hiyo kumetokana na kuongezeka kwa mapato ya shirika hilo kwa asilimia 20 na kupunguza gharama ya uendeshaji kwa asilimia 27.

“Tumeondoa safari za wafanyazi zisizo za lazima hivi sasa tunaruhusu safari ambazo zina tija katika ukuaji wa biashara ya shirika vilevile katika manunuzi tumeondoa utaratibu wa mtu kufanya manunuzi kwa masilahi yake na kujiongezea ‘percent’ alisema Matindi ambaye shirika analoliongoza kulingana na mpango wake wa biashara linatarajia kuacha kupata hasara ifikapo mwaka 2023 na kwamba ripoti ya CAG ni wakati walikuwa na ndege mbili pekee, lakini sasa kuna ukuaji mkubwa zaidi baada ya ujio wa ndege nyingine mbili (Bomberdier Q400 na Boeing 787 Dreamliner) zinazotarajiwa Novemba mwaka huu biashara itashamili zaidi. Kwa sasa ATCL ina ndege nane.

Atafukuzwa leo hii!
 
Jamaa anashangilia hasara, eti Hasara imepungua!
Ni sawa na mtu anayepiga pepa ya kurisiti mara ya kwanza anapiga miswaki yote
Mwaka unaokuja anapata D moja na miswaki iliyobakia halafu anatoka hapo anaenda kula nyama choma kujipongeza kuwa kafanya progress!. ha ha ha, Only in Tanzania
 
Kuna watu humu kupungua kwa hasara wao wanakuhesabu kama kupata faida vile... WAKATI YOTE HAYO NI BELOW ZERO (negative). It can be -16B au -2B bado ni hasara… Maana kuna wengine wanatangazaga kupata hasara kwenye hiyo -2B....... WENGINE WANACHOFANYA NI KUCHEZA NA LUGHA TU, ILA MAANA NI ILE ILE...HASARA
 
Jamaa anashangilia hasara, eti Hasara imepungua!
Ni sawa na mtu anayepiga pepa ya kurisiti mara ya kwanza anapiga miswaki yote
Mwaka unaokuja anapata D moja na miswaki iliyobakia halafu anatoka hapo anaenda kula nyama choma kujipongeza kuwa kafanya progress!. ha ha ha, Only in Tanzania
Mkuu biashara ya anga ni hasara mtuou kama wao wanapunguza hasara ni jambo la kupongezwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Achana nao hawa. Wanadhani shirika lingekuwa linajiendesha kwa faida mara hii? Ndege zenyewe hata hazijaanza kuruka zote. Faida kwenye usafiri wa anga hazihesabiwa kama za mchoma chips. Wakati wa kuzungumzia faida bado hasa. Ila wamefilisika hoja ndiyo maana wanaokoteza kila takataka wanayoona wakidhani watamkatisha Magufuli tamaa.
 
Bosi ATCL aikubali ripoti ya CAG

Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL), Ladislaus Matindi
By Ephrahim Bahemu na Kelvin Matandiko, Mwananchi.

Akifafanua, Matindi alisema kupungua kwa hasara hiyo kunatokana na hatua kadhaa zilizochukuliwa za kupunguza matumizi yasiyo ya lazima na kuwa na adabu katika manunuzi yanayofanywa.

=======

Dar es Salaam. Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL), Ladislaus Matindi amesema kilichoelezwa katika ripoti ya mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za Serikali ndiyo uhalisia wa mwenendo wa shirika hilo.
Jana akizungumza na Mwananchi, hata hivyo, Matindi alisema kwa sasa kuna mabadiliko chanya katika ukuaji kibiashara na mwenendo wa shirika hilo kutokana na hatua zilizochukuliwa kulifufua.

Ripoti ya CAG iliyotolewa mapema wiki hii ilisema mashirika 14 ya umma yanamatatizo ya kifedha na hasara hadi kusababisha madeni zaidi ya mitaji yao ikiwamo ATCL.

Matindi alisema shirika hilo limepunguza kiwango cha hasara kukoka Sh38.72 bilioni mwaka 2005/2006 hadi Sh16.21 mwaka 2016/2017.

“Hasara imepunguza mtaji wa shirika mpaka kufikia mtaji hasi. Kwa miaka mitatu ya karibuni nimeanza kuona mwenendo mzuri wa shirika maana hasara imepungua kwa asilimia 58,” alisema ripoti ya CAG.

Ripoti hiyo ilisema kupungua kwa hasara hiyo kumetokana na kuongezeka kwa mapato ya shirika hilo kwa asilimia 20 na kupunguza gharama ya uendeshaji kwa asilimia 27.

Akifafanua, Matindi alisema kupungua kwa hasara hiyo kunatokana na hatua kadhaa zilizochukuliwa za kupunguza matumizi yasiyo ya lazima na kuwa na adabu katika manunuzi yanayofanywa.

“Tumeondoa safari za wafanyazi zisizo za lazima hivi sasa tunaruhusu safari ambazo zina tija katika ukuaji wa biashara ya shirika vilevile katika manunuzi tumeondoa utaratibu wa mtu kufanya manunuzi kwa masilahi yake na kujiongezea ‘percent’ alisema Matindi ambaye shirika analoliongoza kulingana na mpango wake wa biashara linatarajia kuacha kupata hasara ifikapo mwaka 2023 na kwamba ripoti ya CAG ni wakati walikuwa na ndege mbili pekee, lakini sasa kuna ukuaji mkubwa zaidi baada ya ujio wa ndege nyingine mbili (Bomberdier Q400 na Boeing 787 Dreamliner) zinazotarajiwa Novemba mwaka huu biashara itashamili zaidi. Kwa sasa ATCL ina ndege nane.

Kwanini uwekeze pesa ya umma kwenye shirika lenye mtaji hasi wakati kulikua na sehemu nyingi za kuwekeza nakupata faida, hilo ndotatizo la kufanya biashara kisiasa..... biashara ya airline ni very complicated and competitive ATCL hiyo bishara ya ndege hawatafanikisha hata wakiwa na ndege 10 kama kweli fastjet elipata hasara wakati walikua na abiria wakutosha na route nyingi zilikua zinajaa....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa anashangilia hasara, eti Hasara imepungua!
Ni sawa na mtu anayepiga pepa ya kurisiti mara ya kwanza anapiga miswaki yote
Mwaka unaokuja anapata D moja na miswaki iliyobakia halafu anatoka hapo anaenda kula nyama choma kujipongeza kuwa kafanya progress!. ha ha ha, Only in Tanzania
Mkuu Dangote amejenga kiwanda cha Cement kule Mtwara miaka kama 5 sasa..! Unafikiri ukipewa kazi sasahivi uwe Auditor pale unaffikiri utakuta Dangote ameenza kutengeneza faida?
 
Kwanini uwekeze pesa ya umma kwenye shirika lenye mtaji hasi wakati kulikua na sehemu nyingi za kuwekeza nakupata faida, hilo ndotatizo la kufanya biashara kisiasa..... biashara ya airline ni very complicated and competitive ATCL hiyo bishara ya ndege hawatafanikisha hata wakiwa na ndege 10 kama kweli fastjet elipata hasara wakati walikua na abiria wakutosha na route nyingi zilikua zinajaa....

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi Yutong ni Tsh ngapi? Je, nikinunua Yutong leo nikaingiza Road nikapiga safari Dar-Mwanza Daily nitaanza kupata faida baada ua muda gani?
 
mkurugenzi anakiri hasara, ina maana anakiri kufeli, sasa kuna sbb yoyote abaki madarakani? Sbb amefeli huyu hafai kabisa, sbb hutakiwi kuongea wazi wazi hivyo sbb shirika liko ktk hatua za build-up, sasa anakiri hasara, ina maana yeye hafai kuwa mkurugenzi, sbb anasababisha harasa katika shirika ndio maana yake, yaani amefeli, hana sbb za kubaki na cheo hicho, kwa hiyo ndio kusema Mh. Rais alipomuweka hapo atengeneze hasara, unafikiri Mkuu wa nchi anapata picha gani? Mm ningefukuza leo leo, yaani saa hz, i wish i could be the President. 😲
 
Achana nao hawa. Wanadhani shirika lingekuwa linajiendesha kwa faida mara hii? Ndege zenyewe hata hazijaanza kuruka zote. Faida kwenye usafiri wa anga hazihesabiwa kama za mchoma chips. Wakati wa kuzungumzia faida bado hasa. Ila wamefilisika hoja ndiyo maana wanaokoteza kila takataka wanayoona wakidhani watamkatisha Magufuli tamaa.
Hakuna siku hilo shirika litajiendesha kwa faida.Hiyo biashara ya anga ni biashara ya hasara kwa mashirika mengi tu.
 
Back
Top Bottom