Shinyanga university

Mkuu uliyeweka UDOM....ni kweli hilo limetendeka na hatukatai....tatizo ni kuwa badala ya kwenda mbele CCM inazidi kurudi nyuma...

Kwa kawaida huwa haturudi nyuma bali huwa tunakwenda mbele. Tungekuwa tunarudi nyuma tusingekuwa na mwaka 2010. Hata Rome haikujengwa kwa siku moja na ule mbuyu pamoja na ukubwa wake lakini ulianza kama mchicha.

Wanashinyanga ichagueni CCM ili nanyi mpate chuo kikuu cheni kama Wanadodoma.

******************************************************************************************************
USIACHE MBACHAO KWA MSALA UPITAO NA ZIMWI LIKUJUALO HALIKULI LIKAKWISHA

******************************************************************************************************
Enyi Wanashinyanga msiiache CCM, kwani CCM ni mbachao yenu. Enyi Wanashinyanga msiiache CCM, kwani CCM ni zimwi linalokujeni hivyo haliwezi likakuleni hadi likakumalizeni.

:welcome:
 
hahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.....!!!!!!!!!!! jamani wengine tuna matatizo ya migongo, so haturuhusiwi kucheka sana..))
hahhahahahhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Tayari ahadi imeanza kutekelezwa na CCM

university.jpg

nimependa mazingira yanayo izunguka hicho chuo kijani kibichiiiii nadhani wote tunajua kinawakilisha nini hahaaaa
 
Nimesheeeeka LOL! Mkuu wa chuo U-SHY si mwingine bali ni CHITALILOOOOOOO... MZAWA WA SHY... Mstaafu wa BUCHOSAAAAAA...
 
Back
Top Bottom