Shinyanga Kahama: Askari ajiua kwasababu ya kukosa watoto

Itakuwa aligundua yeye ana tatizo, ingekuwa tatizo lipo kwa mke jamaa angetafuta mwingine wa kuzaa nae! Sad!
Kweli inaonekana yy alikua na tatizo na kashafatlia mda mrefu hakupata jibu. Na coz alikua na mke, ina mana hi ishu ilishajulikana kwa koo zote mbili baina yao mana ni 5yrs so kila mtu alijua, kazini alipo, marafiki, girlfrends aliokua anajuana nao, akajihic mpweke sana, akaona aende tu no way
 
Write your reply...

ila kuna watu wajinga duniani hapa,badala ya kuzitafuna mbunye vizuri,ye anajiua,naona jamaa hakuijua dunia vizuri dunia tamu bwana asiwaambie mtu,sisi wengine hatupendi kufa hata kwa bahati mbaya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom