Shinyanga Kahama: Askari ajiua kwasababu ya kukosa watoto

Nimemwonea huruma jamaa, most likely atakuwa alishajua tatizo liko kwake.

Sasa issue ni pale ambapo mke atabeba mimba wakati yeye (mume) anajijua ni mbovu. Hapo lazima ajue kwamba kasaidiwa.
Angevumilia tu bora mradi kafichiwa siri. Labda iwe hata kazi alikuwa hawezi, ila km alikuwa fresh ishu ilikuwa hiyo tu mbona simple sana.
Alikosa washauri wazuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimemwonea huruma jamaa, most likely atakuwa alishajua tatizo liko kwake.

Sasa issue ni pale ambapo mke atabeba mimba wakati yeye (mume) anajijua ni mbovu. Hapo lazima ajue kwamba kasaidiwa.
Unaweza ukashangaa hata hajawahi kwenda kumuona daktari. Labda kigezo chake ni kwa kuwa mkewe kamuoa tayari akiwa na mtoto.
So hii kwake kesha conclude kuwa yeye ndiyo ana tatizo.
Halafu ukute huyo mk
e ana maneno ya kejeli pindi panapo tokea kutoelewana.
 
Anaweza jogoo akawa na risasi lakini kwa kuwa walikuwa wanatafuta mtoto kwa usongo mambo yakawa hayaendi, issue ya mtoto kiukweli kuna siri kubwa sana kwa baadhi ya watu achilia mbali kusoma tarehe za mwanamke pekee
Uko sawa, tena ukipania ndio hupati kbs. Mi kwa second born wetu tulipania lkn ikawa kila mwezi bila hd tukaachaana na hiyo ishu tukawa busy tu mambo mengine ndio kuja kunasa na wala sikujua hd miezi miwili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mishahara yao mbona haina tofauti na watumishi wengine wa serikali tena wao wana faida zaidi maana hata kwenye daladala hawalipi na mapumziko (off) huwa wanapewa achilia mbali likizo ya miezi 3 kila baada ya miaka mitatu ambazo zote hizo ni fursa za kufanya shughuli zingine za kujiongezea kipato
Wanakuwaga pia na malipo ya katikati ya mwezi km sikosei.
Hela wanazo basi tu sijui wakoje.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaweza ukashangaa hata hajawahi kwenda kumuona daktari. Labda kigezo chake ni kwa kuwa mkewe kamuoa tayari akiwa na mtoto.
So hii kwake kesha conclude kuwa yeye ndiyo ana tatizo.
Halafu ukute huyo mke
ana maneno ya kejeli pindi panapo tokea kutoelewana.

Unaweza kweli kukuta ni hivyo, maana kujitoa uhai at 30 kwa issue hiyo ni mapema sana.
 
safiiiiii.
nikisikia polisi amefariki kwa sababu yeyote ile kama nipo baa nagiza kinywaji kingine kwa furaha.
hawa wanajionga raiya bora kuliko woteee. kumbe walifeli hata mitihani
Bado hupati raha nakwambia,

Chokonoa sikio, utajua kwamba ulikuwa unawanga badala ya kufanya ya kukufurahisha.
 
Ukipata mtoto unatakiwa umshukuru Mungu sana
Anaweza jogoo akawa na risasi lakini kwa kuwa walikuwa wanatafuta mtoto kwa usongo mambo yakawa hayaendi, issue ya mtoto kiukweli kuna siri kubwa sana kwa baadhi ya watu achilia mbali kusoma tarehe za mwanamke pekee
 
Ni ujinga sana aisee vitu vingine ni kudharau tuu na kupotezeaa
nimehisi ivo pia na washkaji ndo chanzo kumpigia kelele vp wew huna mtoto mpk sas anajiona hana thman tena ktika jamii iliyomzunguka..pole kwa wafiwa
 
Huyo marehemu alikuwa dhaifu sana mpaka kufikia maamuzi ya hovyo namna hiyo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom