Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 269,634
- 697,928
Tutaelewana tuu..bado CCM hawajasema.. Bado kusema! Itafika mahali watasema
Huu ulikuwa ufunguzi tuu, siku ya Kazi na muda wa Kazi.. Mutable ilikuwa inatestiwa
Kikubwa jeshi limepokea taarifa ya Maandamano na kutoa ushirikiano kwa mujibu wa katiba! Kusema jeshi limeruhusu maandamano ya CHADEMA ni kosa kubwa!
Sasa ndio kazi inaanza .. Tathmini halisi itatoka baada ya Maandamano ya Mbeya, Mwanza, Arusha Kahama na kwingineko..
Bado joto halijapanda na fukuto halijazidi.. Watasema tuu.. Kumbukeni mikutano ya hadhara ilipoanza na zile kejeli walizofanya CCM! Militant ilipokolea na kisu kugusa mfupa mbona walisema!
Same applies kwa Maandamano.. Wanajaribu kubeza na kukejeli kwa mbali lakini wakikumbuka ya mikutano.. Hofu zinawajaa
Tutaelewana tuu.. Kwasasa bado hawajasema! Watasema tuu
Maua yote wapewe CHADEMA! Kwa siku ya kwanza tu ya Maandamano serikali imetoa Bei elekezi ya sukari iliyokuwa inakimbilia 6000 kwa kilo na kukiwa na uhaba mkubwa wa hiyo bidhaa kwa sehemu kubwa ya Tanganyika
Sent using Jamii Forums mobile app