Namba 13 ina shida gani?

The Bastards

JF-Expert Member
Dec 19, 2020
218
348
Habari wakuu,

Kuna hii habari iliyochapishwa na Nipashe kuhs kutokuwepo Kwa siti namba 13 kwenye ndege

Rubani huyo pia anatoa ufafanuzi kuhusu ndege kutokuwa na kiti namba 13 katika utaratibu wa maalum wa safu, akibainisha kuwa kunatokana na imani kwamba namba hiyo ina shida, ni namba hatari kuliko zote katika usafiri huo

Ndege nyingi hazina kiti namba 13. Ninajua ni jambo la kuwashangaza wengi. Mfano, ndege Aina ya ATR 72 au ATR 42 hazina kiti namba 13.

Nimejaribu kupitia pia comments za watu wengi wanadai hata kwenye mahotel, namba 13 haipo
Eti wakuu shida inaweza kuwa nn hapo?

Mshana Jr Robert Heriel Mtibeli ....mnaweza kutusaidia

1704795718663.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahyo.utafti wako,binafsi unafikiriaje
Maaana hayo nimaoni ya Google..na hyo ni robot weumeshazibitisha hyo no13
 
Hata kwenye baadhi ya gest houses, lodge na mabasi ya mikoani hiyo namba haipo.

wazee flani niliwahi kuskia wanadai hiyo namba ina mikosi sana,

Lakini pia hutumika kutoa kafara.

Akatoa mfano mgumu kidogo eti hebu fuatilia basi na kampuni zinazopata ajali sanaaa....

anasma utakuta hiyo basi ina siti namba 13, halafu within the same bus company Lakini basi nyingine hazina hiyo namba 13....

Zinakuepo chache kwa kaz maalumu 🐒
Habari wakuu,

Kuna hii habari iliyochapishwa na Nipashe kuhs kutokuwepo Kwa siti namba 13 kwenye ndege

Rubani huyo pia anatoa ufafanuzi kuhusu ndege kutokuwa na kiti namba 13 katika utaratibu wa maalum wa safu, akibainisha kuwa kunatokana na imani kwamba namba hiyo ina shida, ni namba hatari kuliko zote katika usafiri huo

Ndege nyingi hazina kiti namba 13. Ninajua ni jambo la kuwashangaza wengi. Mfano, ndege Aina ya ATR 72 au ATR 42 hazina kiti namba 13.

Nimejaribu kupitia pia comments za watu wengi wanadai hata kwenye mahotel, namba 13 haipo
Eti wakuu shida inaweza kuwa nn hapo?

Mshana Jr Robert Heriel Mtibeli ....mnaweza kutusaidia

View attachment 2866129

Hivi Michael Ballack alikua anavaa jezi namba ngapi vile??? Alikua na mikosi ktk carrier yake au???
 
Back
Top Bottom