Watoto wa nje ya ndoa

Ndo maana kwa mganga hawatumii jina la baba wanatumia la mama kwa maana Mama ndie anamjua baba halisi wa mtoto pia kupitia jina la mama waganga wanapata codes number za baba halisi wa mtoto wanapotaka kusoma nyota.
 
Hata kama tunatumia fake ID hizi thread nyingine zinawadharirisha sana. Hivi huwa mnafikiria kweli madhara ya haya maandishi kwenye umma kwamba yanaonesha wewe ni mtu wa namna gani? Ebu jaribuni kuficha uchi wa akili zenu. Mnajidharirisha.
wapuuzi sana watu wa sampuli hii
 
Hata kama tunatumia fake ID hizi thread nyingine zinawadharirisha sana. Hivi huwa mnafikiria kweli madhara ya haya maandishi kwenye umma kwamba yanaonesha wewe ni mtu wa namna gani? Ebu jaribuni kuficha uchi wa akili zenu. Mnajidharirisha.
pole kiswahili chenyewe kinakupa taabu,sio kudharirisha,uhalisia wa dunia haumfanyi mtu kudhalilika,jifunze kuvumilia hoja za watu,hoja hujibiwa kwa kwa hoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona mmeshawachukulia poa sana wanawake Hadi mmefikia kuwavua Pichu mama zenu....Yaani umekaa tu ukapata picha mama yako anagongwa na jamaa!duh🤔
Ni kweli Mama yake inaonekana anakigawa sana ndio maana kaandika hivi. Pumbavu kabisa hiki kitoto. Balehe inamsumbua.
 
Back
Top Bottom