Shindano la kumtafuta miss jf (MMU)

Pendekeza jina hapa nani anafaa kua miss jf MMU?

mi naanza na huyu christine ibrahimu.

huu sasa ni uchizi unamtafuta miss mnawafaham mtakkao watafuta?
Jf sku hiz imekwisha.... Bora nikashinde tu jf international hakuna vilaza kama hu mmu sku hizi vilaza wameongezeka sana huku mmu
 
Last edited by a moderator:
Binafsi napendelea kusema wadada/ wamama wote ni mamiss humu ndani MMU , you are all beautiful ,health, young and Hot . Go Ladies, I love you all. Thanks.

Nimekupenda bure una onekana una busara sana napenda comment zako
 
Binafsi napendelea kusema wadada/ wamama wote ni mamiss humu ndani MMU , you are all beautiful ,health, young and Hot . Go Ladies, I love you all. Thanks.

Huyu hajaelewa mada, shindano la mamiss haya wamama wanakujaje? ndio hawa waliotuchagulia sitti,

GOOD, BETTER, BEST hii ni english ya darasa la tatu enzi hizo, hauwezi sema wadada wote wapo sawa!

msimamo wangu humu kuna miss mmoja!!!

cc: miss neddy
 
Last edited by a moderator:
mimi miss wangu ni mpenzi wangu wa ukweli kabisa Madame B
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom