Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,493
- 12,461
Ushakua bibi mara hii mate?
ha ha ha mbona mwenyewe anasema ana miaka 19?
nashangaa watu wanamzeesha baby wangu
huku MMU wanawake wote ni vikongwe dizaini ya Sitti binti wa Mtemvu....
Mkuu Yupo miss bhana
Waweke kadi za kliniki tusije pata bibi bomba
Miss Bantu atatufaa
mi nasubiri kutoa zawadi tu... huyo miss mtarajiwa hataisahau!!!
mpaka sasa wamejitokeza washiriki watatu tu,nafasi bado ziko wazi.
Miss Bantu atatufaa
Lakini msisahau kamati ya kuchunguza vile vyeti vya kujia duniani a.k.a vyeti vya kuzaliwa na kadi za kliniki.