Shindano la kumtafuta miss jf (MMU)

Shindano la kumtafuta miss jf (MMU)

Kwenye bibi bomba lazma nikuache mataa rafiki.

Ila nimeshaforge kadi ya clinic, sijui nigombee umiss? Makeup zitaficha wrinkles

Hahahaa asikudanganye mtu bora ujitoe tu mapema maana ntakavyokufanika......
 
mimi napendekeza miss chagga,khantwe na dinazarde waingie kwenye kinyang'anyiro. Tupe mrejesho nani ni bingwa huku vigezo na masharti kuzingatiwa.

Duuuh mi na umiss wapi na wapi.....nasubiria bibi bomba
 
mimi napendekeza miss chagga,khantwe na dinazarde waingie kwenye kinyang'anyiro. Tupe mrejesho nani ni bingwa huku vigezo na masharti kuzingatiwa.

U miss bantu eee etii
 
Back
Top Bottom