Thank u ....we luv u too. Namsemea na miss chagga ndio maana nmetumia wingi
Nashukuru. Thanks!
Last edited by a moderator:
Thank u ....we luv u too. Namsemea na miss chagga ndio maana nmetumia wingi
Nani huyo??
Halafu we Dada nimeanza kukupenda ghafla,sijui kwa nini!Binafsi napendelea kusema wadada/ wamama wote ni mamiss humu ndani MMU , you are all beautiful ,health, young and Hot . Go Ladies, I love you all. Thanks.
vigezo vya kuwa miss ni vp? kabla sijaanza kupendekeza mhusika
Vigezo ni vile vile vya hashimu lundenga,ila hapa swala la umri hatu zingatii tafadhali.
Halafu we Dada nimeanza kukupenda ghafla,sijui kwa nini!
Inaonekana una busara hivi!!

yule wako....kwani humjui???? naniliu yule banah ah jina limenitoka kiduchu nkikumbuka ntakwambia
Una onaje ukiomba namba yake pm? Samahani kwA kuingilia mambo yenu.
Unaposema loveiswetie ni mkali,naamini wewe ni mkweli,naamini unaona vizuri na ninaamini una akiliabsolutely....
Wangu?????
Big NDIOOOOO....au ndio nothing last forever? ??? teh ile hela ishaisha asee nasublia mwingine akosee
Unaposema loveiswetie ni mkali,naamini wewe ni mkweli,naamini unaona vizuri na ninaamini una akili
Hahahah haya bana kama umekula hela ya watu sasa subiri mwenyewe akupigie akudai ILE ILE sio kama ile....sijui utaitoa wapi??