Nimekupenda bure una onekana una busara sana napenda comment zako
Sifa kwa mungu. Nashukuru sana. Asante.
Nimekupenda bure una onekana una busara sana napenda comment zako
Umri wamesema hawaangalii labda kuna kigezo cha nyongeza ila nimesikia hata kisukuma kinaruhusiwamimi ningegombea ila msije mkanisitti mtemvu bure.
huku MMU wanawake wote ni vikongwe dizaini ya Sitti binti wa Mtemvu....
Halafu we Dada nimeanza kukupenda ghafla,sijui kwa nini!
Inaonekana una busara hivi!!
Tena amepata umaarufu wa haraka na ni mchangiaji mzuri,kila thread ninayofungua lazima nione jina lake.
Nashukuru wapendwa, ni kwa Neema tuu ya mungu, mmbarikiwe sana , wapenzi . Thanks.
Aisee yule jamaa aliyekutenda amechezea bahati,nimekukubali my sis.
Mmmmh sio kweli, yupo mmoja!!!
shindano limeanza au bado
shindano limeanza au bado
Hivi Angelicious mama umri si unakutosha ule hebu njoo kipande hiki uzuri wake hata kisambaa wamesema kinaruhusiwa come this way
Mkaribisheni na Sitti Mtemvu jamani, mwambieni huku hatuangalii umri hata kama ana mtoto twende kazi tu!!