Shilole ajikita kwenye Muziki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shilole ajikita kwenye Muziki

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Michael Amon, Mar 25, 2012.

 1. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #1
  Mar 25, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,623
  Likes Received: 572
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  Alisema hana upinzani kwenye Filamu kwani nafasi yake iko kubwa, kwa kuonyesha uwezo wake kwa sasa yupo kwenye maandalizi ya kuisuka albamu ya muziki wake na nyimbo mbili zipo tayari na zinasikika redioni.


  Si mwingine bali ni yule Mwingizaji wa jinsia ya kike kwenye Sanaa ya Filamu Swahiliwood Zuwena Mohamed ’Shilole’, alisema kwamba baada ya kufanya vizuri kwenye Filamu na kuonyesha upinzani kwa waigizaji wengine wa kike na kuwafunika.


  ameingia katika fani nyingine ya muziki ili aweze kuwakimbiza huko na kuongeza mashabiki kwa kila fani anayofanya kwani lengo lake ni kuwaburudisha wapenzi wake wa filamu na muziki pia .


  Shilole anauwezo wa kuigiza, anaweza kusema kwamba hana upinzani kwenye Filamu kwani nafasi yake iko kubwa, kwa kuonyesha uwezo wake kwa sasa yuko mbioni kurekodi albamu yake ya muziki.
   
 2. g

  gkipps Member

  #2
  Mar 25, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama kuna mtu kachemsha kuingia kwenye muziki ni huyu,ni ushauri tu uamuzi wake
   
 3. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #3
  Mar 25, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,639
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  sio muziki ni mziku wa kibasha sikiza ule wimbo wake na qchila
   
 4. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #4
  Mar 25, 2012
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  huwa sielew anaimba vitu gan huyu dada
   
 5. z

  zilakina JF-Expert Member

  #5
  Mar 25, 2012
  Joined: Sep 16, 2011
  Messages: 293
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Anaimba au anaongea.kazi kweli kweli.
   
 6. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #6
  Mar 25, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,623
  Likes Received: 572
  Trophy Points: 280
  Kwa nini unasema hivyo mkuu?
   
 7. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #7
  Mar 25, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,623
  Likes Received: 572
  Trophy Points: 280
  Kwani anaimbaje? maana mimi sijawahi kusikia nyimbo zake hata siku moja.
   
 8. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #8
  Mar 25, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,623
  Likes Received: 572
  Trophy Points: 280
  Ni kwamba hajui kupangilia mashairi au nyimbo zake hazina ujumbe unaoeleweka?
   
 9. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #9
  Mar 25, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,623
  Likes Received: 572
  Trophy Points: 280
  Wimbo gani huo mkuu? Embu tuwekee tupate kuusikiliza ili tuweze kuona uwezo wake katika fani hii ya muziki.
   
 10. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #10
  Mar 25, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,914
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  Hakuna anachoimba, labda kama ni biashara ndani ya biashara.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #11
  Mar 25, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,623
  Likes Received: 572
  Trophy Points: 280
  Biashara ndani ya biashara? Una maana gani mkuu?
   
 12. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #12
  Mar 26, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 42,059
  Likes Received: 9,925
  Trophy Points: 280
  kuimba= no
  kukatika= yes
  advice= ajiunge twanga awe dancer,or kanga moja moko or kitu tigo or baikoko.
  nifikiri kwa hapo atafiti.
   
 13. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #13
  Mar 26, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 70,502
  Likes Received: 28,391
  Trophy Points: 280
  Safi shana Zuwena! Uko juu dada.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #14
  Mar 26, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,530
  Likes Received: 2,456
  Trophy Points: 280
  upuuzi mtupu
   
 15. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #15
  Mar 26, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,623
  Likes Received: 572
  Trophy Points: 280
  Ujumbe wako umefika.
   
 16. chumvichumvi

  chumvichumvi JF-Expert Member

  #16
  Mar 31, 2012
  Joined: May 6, 2010
  Messages: 1,034
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 145
  mie napenda uchezajiwake
   
 17. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #17
  Apr 1, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,623
  Likes Received: 572
  Trophy Points: 280
  DUh! Haya bwana.
   
Loading...