Pata darsa dogo:
Tanzania, dollar 1 = TZS 1,700 mkate mmoja TZS 1,000
Kenya, dollar 1 = KES 87 Kenya mkate huo huo = KES 90
Congo Dollar 1 = CDF 920 Congo mkate huo huo = CDF 1500
Yupi bora hapo?
Kwa mfano mafuta wakiagiza in bulk ni nafuu kwao.
Pata darsa dogo:
Tanzania, dollar 1 = TZS 1,700 mkate mmoja TZS 1,000
Kenya, dollar 1 = KES 87 Kenya mkate huo huo = KES 90
Congo Dollar 1 = CDF 920 Congo mkate huo huo = CDF 1500
Yupi bora hapo?
Pata darsa dogo:
Tanzania, dollar 1 = TZS 1,700 mkate mmoja TZS 1,000
Kenya, dollar 1 = KES 87 Kenya mkate huo huo = KES 90
Congo Dollar 1 = CDF 920 Congo mkate huo huo = CDF 1500
Yupi bora hapo?
Hiyo Faiza inategemea pia material ya kutengeneza huo mkate inapatikana wapi, unaweza kuta Congo wanaagiza ngano toka nje wakati tz tunaipata ndan ya nchi kwahiyo sio rahisi kufanya comparison!
Kwa mfano mafuta wakiagiza in bulk ni nafuu kwao.
Hapo utakuwa umeelewa somo kwa kiwango chako cha ufahamu.
Hata iwe mmoja kautoa unga kwenye mars na mwingine kautoa uvunguni mwa kitanda chake, kinacho matter hapo ni mlaji kaununuwa mkate shillingi ngapi?
Sio kweli kila nchi ina zao lake inalozalisha km zao husika halizalishwi ndani na linaagizwa kutoka nje bei haiwezi kuwa sawa kwani kunakuwepo kodi na garama zingine za usafirishaji, ungetolea mfano kwa bidhaa ambazo nchi zote tatu zinaagiza nje ningekuelewa lkn kwa mkate sio sawa
Cc Mwigulu Nchemba Ndiye Mchumi Daraja La Kwanza Pale BOT MuuliZe,Tena Subiri Mia Tano Ya Sarafu Soon.CCM OYEEE!
Na kufananisha thaman ya pesa unaweza pia kupima shiling 10,000 kwa sasa inanunua bidhaa ngap ukilinganisha na miaka mitano iliyopita
Tulikua tunawacheka wazimbabwe sasa nao wametuacha mbali ni aibu tupu sijui ccm wanatupeleka wapi!
Hii hali ilivyo na uchumi wetu ulivyo kuna tatizo,ingawaje kuwa chini kwa thamani ya shilingi kungeweza kuwa na manufaa kwa tanzania lakini hapo inapoenda si pazuri sana,kushuka au kupanda kwa thamani ya sarafu moja ukilinganisha na nyingine unasababishwa na vitu vingi kuwa na impact moja,kuna vitu ambavyo serikali ingechukua hatua ingesaidia,kama matumizi ya dollar au sarafu nyingine Tz wakati sisi tuna sarafu yetu,kuna haja gani ya kuwa na shilingi wakati naweza kutumia dollar kila mahali?waziri anajibu swali bungeni unaona ni jinsi gani Tanzania inaweka nyuma vipaumbele vyake for the sake of others!....nimetembea sehem nyingi,kenya huwezi tumia dollar hotel yoyote,india ndio balaa kabisa,sisi tunbungaa eti,sheria na taratibu za kimataifa....huu ndio ubepari..bila kupambania maslahi yetu hakuna atae kutetea...!Nikiwa Lubumbashi kuelekea Kishansa nimeambiwa dola moja ya Marekani sawa 1doller=950falanga ya Congo! Wakati sie 1doller=1700TSH! Shenzy type BOT.
Shilingi ilikuwa wakati wa Nyerere sio sasa nyakati za wasanii. Sasa kama jamaa wamepiga minada viwanda vyote alivyojenga Nyerere, mashirika yote ya uma, migodi, mbuga za wanyama, ardhi nk nk shilingi yenu itakuwaje na thamani wakati ninyi ni waagizaji tu hamzalishi?????!!!! Ukimuuliza muhusika akiwa anakula bata huko ng'ambo kwanini ninyi ni masikini anasema umasikini kwake ni lugha ya kigagagigikoko hata haelewi maana yake na kwanini tuwe masikini wakati yeye sio masikini!Nikiwa Lubumbashi kuelekea Kishansa nimeambiwa dola moja ya Marekani sawa 1doller=950falanga ya Congo! Wakati sie 1doller=1700TSH! Shenzy type BOT.
Matatizo yenu makubwa ni elimu finyu.
Thamani ya Shillingi ikiwa kubwa inakusaidia nini Mtanzania?
Ni wakati wa kutumia fursa hiyo ku export bidhaa zetu badala ya kulalamika.
Ukilinganisha hivyo ulinganishe pia na miaka 5 iliyopita ulikuwa na kipato kipi na sasa kipi.