Shilingi yetu aibu tupu

Shilingi yetu aibu tupu

Pata darsa dogo:

Tanzania, dollar 1 = TZS 1,700 mkate mmoja TZS 1,000

Kenya, dollar 1 = KES 87 Kenya mkate huo huo = KES 90

Congo Dollar 1 = CDF 920 Congo mkate huo huo = CDF 1500

Yupi bora hapo?

kenya mkate wauzwa ksh45-50. Hizo ya 90 ni ile ya 800g.
Ukilinganisha ubadilishanaji wa sarafu mttu huangalia mapato ya wafanyikazi na bei ya bidhaa zinavyoagizwa kutoka nje. Kwa mfano ni mwalimu wa shule za upili aliye katika daraja ya kiingilio analipwa aje kati ya Kenya na Tanzania kisha uangalie bei ya kununua gari.
 
kenya mkate wauzwa ksh45-50. Hizo ya 90 ni ile ya 800g.
Ukilinganisha ubadilishanaji wa sarafu mttu huangalia mapato ya wafanyikazi na bei ya bidhaa zinavyoagizwa kutoka nje. Kwa mfano ni mwalimu wa shule za upili aliye katika daraja ya kiingilio analipwa aje kati ya Kenya na Tanzania kisha uangalie bei ya kununua gari.

Soma vizuri.
 
Mimi dada FF huwa nakuheshim.sana Ustaadhat lakini leo dada'ngu umepotoka sana. Thaman ya fedha ikiwa vizuri hasa kwenye soko la ushindani wa matumiz ya dollar ni muhimu sana bila kujali raia mmoja mmoja ananufaikaje. Kuna mifano hutolewa humu kuwa Yen au Yuan ziko chini sana ya dollar karibia sawa na Rand ya SA, au Kshilling! Je tutasema Kenya wana uchumi bora kuliko Japan(Yen) au China( Yuan)? Jibu ni hapana. Lakin wao Wachina na Wajapan wanasababu zao kushusha thaman dhid ya dollar. Mojawapo ni kuwa wao bidhaa nyingi wanatengeneza na kuuza nje, hawaagizi. Kwa nchi zetu hizi ambazo bidhaa za kuagiza nje ni nyingi kuliko tunazouza/safirisha nje, ni muhimu tena ni LAZIMA hela yako ijitahidi kufukuzana na dollar , na ukiweza iwe tarakim 3 ni bora zaidi

Umehororoja sana lakini hujajibu swali langu, rudia tena.
 
We boga kabisa Congo asilimia kubwa ya madini na misitu watu wanaiba wala hata kodi hawalipi sasa hapa TZ mbona yina madini, raw materials lakini shilingi yetu inazidi kuwa mbaya? Unajua maana ya devaluation of currence? Nchi imekubali iwe hivyo ili wazungu wananchi bidhaa zipande bei na wazungu wanaokuja nchini wao wawe na unafuu kwani wanatumia dola katika huduma kwenye mahoteli na sehemu za utalii.

Ur correct kaka.but watu wanspigana vita kila siku.kodi awalip but saraf yao iko juu.hapa siasa tu ndo zimejaa
 
Tulikua tunawacheka wazimbabwe sasa nao wametuacha mbali ni aibu tupu sijui ccm wanatupeleka wapi!
unafananisha Zimbabwe na Tanzania kweli hapa kazi ipo. Zimbabwe hawana pesa yao Tanzania tuna pesa yetu utafananishaje??? Nazani tafuta kingine lakini sio swala la Shilling kushuka.
 
Fafanua uzuri Mkuu! Kwa mimi Mwendabure hapa nimetoka bure bin kapa. naamini wapo wengine pia.
Tafadhali
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom