MAKANJAMNA
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 1,138
- 1,515
Anlaysis ya uchumi haiko hivyo mkuu, demand ya dollar kwenye hizo nchi husika ni ndogo, ndio maana dollar ipo chini
kwa kawaida maoni ya mchumi kuhusu thamani ya fedha na maoni ya mtu wa kawaida (layman) hayawezi kufanana.
hebu kwanza kaangalieni south korean won na usd.. halafu linganisha exchange rate ya hela ya congo na usd.
wapi fedha yao ipo juu... na wapi uchumi wao ni imara.. congo au s.korea..