Shilingi yetu aibu tupu

Shilingi yetu aibu tupu

Ng'wanapagi

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2013
Posts
9,116
Reaction score
8,661
Nikiwa Lubumbashi kuelekea Kishansa nimeambiwa dola moja ya Marekani sawa 1doller=950falanga ya Congo! Wakati sie 1doller=1700TSH! Shenzy type BOT.
 
pole sana hii ndio bongo hadi wa vitani wanatupga bao!
 
Nimejisikia ovyo sana kwani siku zote niliamini ni Kenya tu ndo wanaizidi thamani shilingi yetu! Hadi Wacongo tunaowasaidia hadi vita na waasi?!
 
dah alafu watakwambia tanzania ina amani!! shwaini.....
Nikiwa Lubumbashi kuelekea Kishansa nimeambiwa dola moja ya Marekani sawa 1doller=950falanga ya Congo! Wakati sie 1doller=1700TSH! Shenzy type BOT.
 
Cc Mwigulu Nchemba Ndiye Mchumi Daraja La Kwanza Pale BOT MuuliZe,Tena Subiri Mia Tano Ya Sarafu Soon.CCM OYEEE!
 
Last edited by a moderator:
Nikiwa Lubumbashi kuelekea Kishansa nimeambiwa dola moja ya Marekani sawa 1doller=950falanga ya Congo! Wakati sie 1doller=1700TSH! Shenzy type BOT.

Hayo ndo madhara ya kuwa na raisi BOGUS . Ni mbaya sana thamani ya pesa kuwa chini kwani hufanya maisha kuwa magumu kwa wananchi. Export ya nchi hupanda kama thamani ya pesa ikiwa chini lakini ni mbaya sana inawaumiza watanzania wa chini. SHENZI CCM, SHENZI BOT.
 
Tulikua tunawacheka wazimbabwe sasa nao wametuacha mbali ni aibu tupu sijui ccm wanatupeleka wapi!
 
Somalia wana import nn? Au congo? Very lower level of thinking, kukua kwa import kunaendana na demand for dollar baada ya kuongezeka uzalishaji, congo inaweza ikawa juu coz higher mineral export as opposed to tz
 
We boga kabisa Congo asilimia kubwa ya madini na misitu watu wanaiba wala hata kodi hawalipi sasa hapa TZ mbona yina madini, raw materials lakini shilingi yetu inazidi kuwa mbaya? Unajua maana ya devaluation of currence?

Nchi imekubali iwe hivyo ili wazungu wananchi bidhaa zipande bei na wazungu wanaokuja nchini wao wawe na unafuu kwani wanatumia dola katika huduma kwenye mahoteli na sehemu za utalii.
 
Wapumbavu wameshaiua nchi. Nilienda mpakani mwa Tz na Msumbiji (KILAMBO). Nilishangaa kuona 100 ya msumbiji inabadilishwa kwa 5,000 (buku 5) ya Bongo.

Natamani mwl. Nyerere angefufuka aone wapumbavu (wanaopenda madaraka) walivyoharibu nchi.
 
Nikiwa Lubumbashi kuelekea Kishansa nimeambiwa dola moja ya Marekani sawa 1doller=950falanga ya Congo! Wakati sie 1doller=1700TSH! Shenzy type BOT.

Tulia mkuu tunao wachumi daraja la kwanza waliobobea pale wizarani na Benki kuu. ..cream kabisa go mwigulu go mkuya go ndullu
 
Anlaysis ya uchumi haiko hivyo mkuu, demand ya dollar kwenye hizo nchi husika ni ndogo, ndio maana dollar ipo chini

Inategemea unahitaji dola kwa matumizi gani.! Wenzetu wanatumia kwa import kidogo sie tunaitafuta kwa ajili ya safari za rais! Tumeua viwanda vyote ili tuagize hata nguo kutoka China.

Madini yenyewe yanabebwa kinyemela na kwenda kuwa exported na nchi zingine. Unategemea thamani ya shilingi itaongezeka? Ni upuuzi tuu ndio umetujaa vichwani mwetu na kufanya siasa za fitina
 
Mwigulu ni waziri mchumi daraja la kwanza-Source ni yeye mwenyewe
 
Ungejua hata ya somalia iko juu ungechoka kabisa,
Ndio maana Tanzania imekuwa nchi ya kwanza katika Jumuiya ya Afrika Mashariki kupigia filimbi sarafu ya pamoja kutokana na sarafu yetu kushuka thamani iama ilivyokuwa nchi ya Italia.
 
Back
Top Bottom