Anlaysis ya uchumi haiko hivyo mkuu, demand ya dollar kwenye hizo nchi husika ni ndogo, ndio maana dollar ipo chini
Yamaanisha hela ya tanzania haina demand,
Anlaysis ya uchumi haiko hivyo mkuu, demand ya dollar kwenye hizo nchi husika ni ndogo, ndio maana dollar ipo chini
Nimejisikia ovyo sana kwani siku zote niliamini ni Kenya tu ndo wanaizidi thamani shilingi yetu! Hadi Wacongo tunaowasaidia hadi vita na waasi?!
Kitu kingine, inaweza kuwa advantageous kuwa na weak currency kama mnazalisha na kutaka kuwa competitive katika exports.
Wachina wanaifanya hela yao iwe weak makusudi ili wapate advantage hii. Tim Geithner alipigizana nao kelele sana waiachie Yuan I float kwenye market bila kuiingilia.
Tatizo kwetu hatu export at a level that will pronounce this advantage, so we end up with a weak currency and no significant exports.
The worst of both worlds.
Yamaanisha hela ya tanzania haina demand,
Wanatuheshimu tu kwa upole na jinsi tunavyowasaidia kuwatokomeza M23 mengine yaliyobakia wanaona upuuzi mtupu.Hayo ndo madhara ya
kuwa na raisi BOGUS . Ni mbaya sana thamani ya pesa kuwa chini kwani
hufanya maisha kuwa magumu kwa wananchi. Export ya nchi hupanda kama
thamani ya pesa ikiwa chini lakini ni mbaya sana inawaumiza watanzania
wa chini. SHENZI CCM, SHENZI BOT.
We boga kabisa Congo asilimia kubwa ya madini na misitu watu wanaiba wala hata kodi hawalipi sasa hapa TZ mbona yina madini, raw materials lakini shilingi yetu inazidi kuwa mbaya? Unajua maana ya devaluation of currence? Nchi imekubali iwe hivyo ili wazungu wananchi bidhaa zipande bei na wazungu wanaokuja nchini wao wawe na unafuu kwani wanatumia dola katika huduma kwenye mahoteli na sehemu za utalii.
unalosema ni sawa. ila badala ya kudevaluate tungeongeza kwanza quality ya bidhaa zetu. coz tunachofanya ni upuuzi mtupu
Then rejea why do we demand dollars?Anlaysis ya uchumi haiko hivyo mkuu, demand ya dollar kwenye hizo nchi husika ni ndogo, ndio maana dollar ipo chini
Yamaanisha hela ya tanzania haina demand,
Sawa...ngoja tuitumie hii fursa sasa labda tutabadili mawazoUpuuzi ni pale unapoanza ku compare thamani ya pesa yako huku unashindwa kutumia fursa hiyo.
Kuna wakati China walishusha thamani ya pesa zao USA ikapiga kelele na kulalamika sana.
Tusiwe wajinga, tuitumie fursa, anza kwa kusafirisha japo asali, ujionee raha ya kushuka kwa shillingi. Nnakuhakikishia ukianza tu hutotamani ipande tena.
And how do you link that with hpja ya uchumi kuwa juu au chini? In other words, kwa kauli yako ya hapo juu ni kwamba ethiopia ina uchumi wa juu kuliko japana...Yen is weaker than Ethiopian Birr or Kenyan shilling. In other words I would rather (be) paid in E Birr or KShs than Yen.
1USD =6BIRR=80YEN=68KSHS
mimi nilishaliona siku nyingi hilo ,kosa ni kukubali matumizi ya dola kwenye manunuzi ya kawaida kwenye baadhi ya maduka ,mimi nahifadhi akiba yangu ya pesa kwa dola tu
Nikiwa Lubumbashi kuelekea Kishansa nimeambiwa dola moja ya Marekani sawa 1doller=950falanga ya Congo! Wakati sie 1doller=1700TSH! Shenzy type BOT.
Ungejua hata ya somalia iko juu ungechoka kabisa,
Pata darsa dogo:
Tanzania, dollar 1 = TZS 1,700 mkate mmoja TZS 1,000
Kenya, dollar 1 = KES 87 Kenya mkate huo huo = KES 90
Congo Dollar 1 = CDF 920 Congo mkate huo huo = CDF 1500
Yupi bora hapo?
Wote majanga lakini afadhali Kenya na Congo.