Shilingi yazidi kushuka, 1 USD = 2223Tsh

Shilingi yazidi kushuka, 1 USD = 2223Tsh

Mkuu 2233 rate niliyotumia jana
 
Mkuu, nimesema "MIONGONI mwa mambo mengine"
Nikupe mfano.
Tanzania leo ikiingia katika msukosuko wa KISIASA ama itangaze itaingia vitani dhidi ya nchi X ama Y lazima tu shiliingi IPOROMOKE
Mfano mwingine.
Tanzania ilipoingia vitani na uganda miaka ya 70 inasemekana kabla ya hapo shilingi ya Tanzania ilikuwa inabadilishwa Dollar1 kwa shilingi 20. Lakini katikati na baada ya vita tu na miaka mingi kupita MADHARA yake bado tunayaona mpaka leo.
Hivyo hivyo
MATAMSHI,
KUFUNGAFUNGA wanasiasa na
UNCERTAINITY katika taifa LAZIMA tu ATHARI zi affect soko la kifedha.
Na ndiyo maana viongozi wetu ni MHIMU sana KUCHUJA maneno wanayoyasema huenda yakaathiri uchumi wetu!
Nakubaliana na wewe. Ndiyo maana hata huko duniani, likitokea jambo kidogo tu kama US kusema itaivamia Iran, kwa kauli tu ya vitisho, masoko ya hisa huporomoka.
Haishangazi kauli, mienendo ilisababisha mizigo kupungua bandarini. Kauli kama za kufuta leseni ya mgodi kwa sababu ya tank la maji inaweza kuchukuliwa ni ya kawaida, lakini inatia uoga wawekezaji. Kiufupi kama ulivyosema, political INSTABILITY, Kauli za kisiasa ambazo hazijachujwa kwa wawekezaji haziwavutii
 
Watu bwana......eti depression.......waTanzania tuna depression kila Siku. Maisha yenyewe ni depression tosha. Uchumi wetu bado. Tuache kuongelea sijui inflation, sijui recession, na lugha pendwa za kwenye vitabu na majarida ya kiingereza. Huko hatujafika. Tufikirie namna ya kuwa na vyoo mashuleni, vitanda mahospitalini nk.
Sasa ndg utafikilia vyoo na vitanda wakati mwenzako anachukua hela anajenga uwanja chato wa kimataifa wenye wakazi wasiozidi 17000
 
MTU ikiwa una utajili kisha roho yako ni ya kimaskini basi wewe Utakuwa ni maskini Wa kutupwa....ila kuna watu watafaidika na roho yako ya kimaskini..tutabaki tukiimbiwa nchi tajiri lakini hatua za kuonyesha huo utajili hakuna mfano mikataba ya Madini ambayo ipo ovyo ovyo iangaliwe upya,kufanya kazi kwa hofu misingi imara ianzishwe sehemu husika mfano kuna Authorities kama FFDA,TRA,TBS ETC hizi ni mamlaka zinazogusa moja wafanyabiashara instead ya kuwa more of customer care zinageuka kuwa kama vituo vya polisi,uchumi Utakuwa vipi kama hakuna mifumo friendly?
Mifumo iwe friendly wawekezaje wataongezeka ajira zitakuwepo,ukiangalia kwa Sasa ajira zinazidi kupungua in the name of "kubana matumizi"
 
Tulikusanya mapato na kodi zote na kutumbua kila cku lengo nikujikusanyia hela ya kutosha bila misaada ya nchi washirika sasa nn mseme uchumi unashuka hatutegemei misaada ya nje nchi INA bajet ya kutosha na chakula tani m.1

Tunaisoma namba vzri
 
Nakubaliana na wewe. Ndiyo maana hata huko duniani, likitokea jambo kidogo tu kama US kusema itaivamia Iran, kwa kauli tu ya vitisho, masoko ya hisa huporomoka.
Haishangazi kauli, mienendo ilisababisha mizigo kupungua bandarini. Kauli kama za kufuta leseni ya mgodi kwa sababu ya tank la maji inaweza kuchukuliwa ni ya kawaida, lakini inatia uoga wawekezaji. Kiufupi kama ulivyosema, political INSTABILITY, Kauli za kisiasa ambazo hazijachujwa kwa wawekezaji haziwavutii
Ni kweli kabisa katika mfano wako!
 
We kiazi kweli, unatetea nini sasa hapo.

Ongeza elimu kijana au jiongezee japo kupitia Google. Jifunze basi angalau kusoma na kuielewa point, wapi mimi nimetetea? All what I have said is that currency depreciation may or may not impact economic growth negatively and thus one shouldn't conceptualize economic growth as human development as the two don't necessarily mean the same.

JF haiwezi kukutafunia kila kitu kwa kukueleza effects za currency depreciation in economic growth and deference between economic growth and human development. Labda wewe mgeni hapa JF ndio huwajui viazi, sisi makungwi humu tunajuwa viazi na sifa zao ni kushambulia watu badala ya kuishbulia hoja, kutukana watu badala ya kushindana kwa hoja, kushabikia point ya kisiasa hata kama haina maslahi ya kitaifa. Hao ndio viazi na wako open for business 24/7 free registration and sastifaction guaranteed or your money back.
 
Hatusikii tena Tz tajiri wa Gesi na Madini ila ni kodi tu kwa wananchi kwenye vocha za simu na miamala ya kibenki.

Gas aje achimbe nani? Madini aje achimbe nani? Kutawala nchi kazi kubwa na mtawala lazima ajiandae kwa muda mrefu kutawala na kwa kufanya hilo anajuwa uwezo wa nchi yake kiuahalisia. Tunaongozi uliokuja kuwafanya wafanyabiashara na wawekezaji wajione na kuishi "kama mashetani" na akina kapuku waishi "kama malaika". Wakati huo huo tukawakimbia wahisani wanaotasaidia bajeti yetu kila mwaka kwamba sasa sisi ndio tutaaanza kuwasaidia wao. Wapo kimyaaa wanaangalia sinema isiyo na mchezaji mkuu wala msaidizi.

Wachimba gas wameondoka na kusema watajadiri maamuzi ya kuendelea kuchimba au kutoendelea ndani ya miaka 5 na miaka mitano ya majadiriano ikiisha itawachukuwa miaka mingine 5 kuanza kuchimba. Maanake ukiangalia kwa jicho la wasiwasi ni kwamba "hawataki kuchimba gas kwenye utawala huu". Mwafwaaa
 
Ongeza elimu kijana au jiongezee japo kupitia Google. Jifunze basi angalau kusoma na kuielewa point, wapi mimi nimetetea? All what I have said is that currency depreciation may or may not impact economic growth negatively and thus one shouldn't conceptualize economic growth as human development as the two don't necessarily mean the same.

JF haiwezi kukutafunia kila kitu kwa kukueleza effects za currency depreciation in economic growth and deference between economic growth and human development. Labda wewe mgeni hapa JF ndio huwajui viazi, sisi makungwi humu tunajuwa viazi na sifa zao ni kushambulia watu badala ya kuishbulia hoja, kutukana watu badala ya kushindana kwa hoja, kushabikia point ya kisiasa hata kama haina maslahi ya kitaifa. Hao ndio viazi na wako open for business 24/7 free registration and sastifaction guaranteed or your money back.

Mkuu kizazi cha leo kimekuwa cha kulalamika tuu bila kuangalia tunatoa vipi solution za matatizo yanayotukabili.

Kwa mtu mwenye akili timamu huwezi kufurahia nchi kuwa omba omba. Ofcourse kuna mengi mkubwa anayafanya yanahitaji mjadala mpana. Lakini kwa ukaribu waTanzania tumekuwa walalamishi sana. Tukisahau kwamba kuna 80% ya waTanzania wenzetu wameishi haya maisha ya kupigika mwa miaka mingi tangu uhuru. Lakini kwa sababu walikuwa watu inconsequential hakuna aliytewahi kupaza sauti kwamba hawa watu wanastahili kuangaliwa.... I mean kuna maswali legit kabisa ambayo watu wanastahili kuuliza na kupatiwa majibu. Lakini huu ulalamishi hautusaidii. Na naamini kabisa hata Mkubwa anajua hizi kelele ni za elites (ambao ndo wanaisoma namba kwa sana-maana ndugu zetu wa vijijini walishazisoma kwa sana na kuzikariri). Elites hata siku ya kupiga kura hawaendi. Its sad but sad truth.

Ndo maana leo mtu bila aibu anaandika humu eti...JK ndo alisababisha yote haya kwa kutuletea Magufuli....(kwa kumkata Lowasa) wakisahau kwamba huyo huyo ambaye angekuwa mkombozi aligombea kwa upande wa pili! You and I know what happened.
 
Mkuu una hoja ambayo ni valid kwamba yapo aliyoyafanya yanayostahili pongezi na kwamba ulalamishi hausaidii pasipo kupata suluhisho.

Niseme tu kwamba, kiongozi anapofanya wajibu wake hastahili sifa kwasababu huo ndio wajibu wake na ni haki kwa raia wake kutendewa hiko anachotenda. Kiongozi hasipofanya matakwa ya wengi anakosa uhalali wa dhamana aliyopewa na hivyo malalamiko hayazuiliki. Watu wanalalamika kwa kile kisichofanywa kwa namna ya mategemeo yao, hawalalamiki kwa kile kinachofanywa ipasavyo.

Nakubali hoja yako kwamba 80% waliishi maisha magumu tangu mwanzo na hawakulalamika. Mimi nadhani hawakulalamika kwasababu bado walikuwa within a threshold ya umasikini ambao ulikuwa tolerable. Na asikudanganye yeyote hiyo 80% ndiyo inayolalamika zaidi na sio kweli kwamba elites na wapiga deal ndio wanaolalamika sio kweli. Kwenye mfumo wa kibebari wowote duniani, kuyumba kwa uchumi kunawamaliza zaidi watu wa chini wakiwamo masikini, watoto na akina mama kwasababu kipato chao kinategemea kipato cha mtu wa daraja la juu au kati.

Sio hivyo, hata viongozi wa ngazi zote wanalalamika, iwe wa chadema CCM au vyama vingine. Nchi inalalamika. Viongozi wanakosa sehemu ya kwenda kulalamikia lakini ukipata muda wakua karibu nao wakakueleza mitazamo yao naamini utajuwa kwamba we are in a full blown leadership and economic crisis.

Upo sahihi kwamba yapo mambo yanahitaji mjadala mpana. Tatizo linakuja mjadala huu unaletwa na kudhaminiwa na nani na kutekelezwa na nani kama wingu la woga limetanda pande zote za nchi? Demokrasia ndio inayotoa fursa ya mjadala mpana huku ikishikilia msingi wake wa majority rules while minority rights and interests considered. Sasa hivi leo Tz tuna demokrasia? Tuna uhuru wa kujieleza (labda kwenye mitandao tu kama hivi tufanyavyo na huku bado wanatuvizia)? Hivyo suluhisho la mjadala mpana haliwezi kufanyakazi kama mazingira ya mijadala yamejaa woga, ubabe, visasi na uadui.

Lakini yapo mambo ambayo wala hayahitaji mjadala ambayo kwa kweli yanaifanya hii serikali ichukiwe kila siku. Hivi hotuba za kiongozi wetu zinahitaji mjadala kuwa hotuba zinazovuta usikivu na kuliunganisha taifa? Tunahitaji mjadala kweli kwa kiongozi wetu kuonyesha human face kwenye matatizo yanayoikabili nchi? Tunahitaji mjadala kwa kiongozi wetu kujuwa kwamba njaa inainyemelea bara la Africa ikiwamo Tz yetu na hivyo kuwaambia wananchi nini wafanye na yeye kama kiongozi atafanyaje kuhakikisha wananchi wake wako salama? Tunahitaji mjadala kiongozi wetu ajuwe kwamba moja ya kazi tuliyompa ni kulinda usalama wetu ikiwamo usalama wetu nyakati za njaa, vita, au magonjwa? Kama haya yanahitaji mjadala basi mjadala wa kwanza ni kujiuliza kama tulimchagua kiongozi sahihi na kama tulikuwa sahihi kumchagua basi turudi kwenye kurekebisha sifa za kiongozi wetu kwenye katiba.

Hakuna nchi inayofurahia kuwa omba omba lakini ajabu ya dunia ni kwamba hakuna nchi isiyoomba duniani. Tunatofautiana tu namna ya kuomba na masharti ya mwombaji na mwombaji na viwango vya kuomba au kuombwa. Kama kusingekuwa na waombaji na waombwaji basi World Bank na IMF zingefia mbali tangu kuundwa kwakwe. Kwa nchi yetu kuomba ni aibu lakini ni LAZIMA, na tunachosema sisi ni kwamba kiongozi wetu alitakiwa ajuwe hili, kwamba kuomba aibu lakini lazima na hivyo basi hakutakiwa awakejeli nchi zilizokuwa zinatusaidia. Amezikejeli na sasa anaziomba kwa kuzipigia magoti na tayari deni letu ndani ya mwaka moja limeumuka andazi limesingiziwa. Juwa uwezo wako, juwa limitations za nguvu na uwezo wako then tengeneza mazingira ya kusaidiwa na kushaurika ili mambo yanapokuwa magumu unasaidiwe.

Nihitimishe kwa kusema kwamba, sio kweli kwamba wanaolalamika ni elites na wapiga deal, kwasababu mitikisiko wa uchumi unamtikisa kwanza mtu wa chini. Watu wa chini wanalalamika kwasababu wametikiswa kuliko ilivyokuwa kawaida, wanashindwa kustahimili tikisiko hili. Yapo mambo yanayohitaji mjadala mpana wakitaifa lakini kwa hilo kutokea lazima misingi ya demokrasia iheshimiwe na wingu la woga liondolewe. Hakuna anayependa kumvasha paka taruma. Lakini yapo mambo rahisi mno kuyasawazisha pasipo mjadala haya yakiwamo kauli, maamuzi yasiyofuatia utafiti, kulipiza visasi, na hotuba za kuligawa taifa. Ingawa kuomba ni aibu lakini Tz kamwe hatuwezi kukwepa na tayari tumeanza kukopa kwa spewed isiyowahi kutokea, basi tulitakiwa tujenge urafiki na mahusiano mazuri kwa hao tunaowaomba ili watulegezee masharti.
 
....mfugo wa lowasa baba yako na mama yako. Wewe ni muhuni na fisadi mwingine tu mganga njaa. Ungekuwa kweli unaipenda Tanzania usingekubali kutumika na wahuni, wezi, wala rushwa, majangili, watoa rushwa, wanaofilisi Tanzania kwa kusaini mikataba ya kifisadi kuhusu rasilimali za nchi, Tanesco n.k. Hujitambui mpumbavu kabisa wewe na wala hujui chochote kuhusu uchumi. Ungekuwa unaujua uchumi kamwe usingekaa kimya pale huyo fisadi anayelipuka anafanya mambo mbali mbali ambayo yanaathiri uchumi wa nchi ikiwemo kuvuruga mzunguko wa pesa nchini na kudai eti anabana matumizi ya Serikali halafu anaenda kurumia trilioni 1 nje ya bajeti bila kuwa na idhini ya Bunge. Kazana kuandika pumba humu naona unatafuta uDC kwa nguvu kwa kujitoa ufahamu wa kupigia makofi uozo unaoendelea nchini.
Mambo ya uchumi huyajui kabisa, kuna faida nyingi tu za contractionary fiscal policy wewe tutusa, kwa hiyo unaposema hela kupungua kwenye circulation ni kuumiza uchumi sijui huo uchumi ulisomea wapi? Wewe unachoweza ni kucopy vimifano mfu bila kureason, nenda tena wakufundishe vizuri fiscal na monetary policy halafu ukishaelewa vizuri ndo uje hapa kutukana, umesikia wewe mfugo wa Lowasa
 
Wewe ni mmoja wa mafisi tu ndani ya chama chenu cha mafisi ambao mnaangamiza maendeleo ya Tanzania na Watanzania. Ungekuwa unaujua uchumi usingeunga mkono kusaini mikataba ya kifisadi ya rasilimali za nchi, IPTL, Symbion na mengine chungu nzima na mafisi ndani ya chama chenu. Hao mafisadi ambao na wewe ukiwa mmoja wapo mngekuwa China wote mngeshakuwa marehemu nyinyi kwa kutandikwa Shaba lakini Tanzania mnakingiana vifua mtu mwizi fisadi muongo mpaka ndani ya Bunge lakini anakuja kuwa mpaka Rais wa nchi! Rushwa mpaka ndani ya Ikulu na Bunge juzi tu huyo fisadi karuhusu Wabunge wa MACCM wapewe rushwa ya milioni 10 kila mmoja ili tu wapitishe muswaada uchwara wa kuminya uhuru wa habari nchini. Na fisi wewe wala hukutia neno kwa sababu nawe ni fisadi tu. Kamwe fisi wewe huwezi kujilinganisha na mimi ambaye siku zote nimesimamia maslahi ya Tanzania na Watanzania ukilinganisha na fisi wewe ambaye unataka kujaza tumbo lako bila kujali nchi kuendelea kuangamia miaka nenda miaka rudi pamoja na kuwa imejaliwa utajiri wa hali ya juu. Mfugo wa lowasa ni baba yako na mama yako fisi na fisadi wewe. Na huo uchumi unaujua utakuwa uchumi uchwara kama wa huyo mwenye Phd ya kubangua korosho kwa kudhani tu kwamba kwa ana Phd basi anajua kila kitu. Kila anachogusa nchini kinaishia kuwa majanga makubwa. Endelea kuandika upumbavu wako humu ili akuone akupe uDC wewe mchumi uchwara. Uchumi unakuwa kati ya asilimia 5 mpaka 7 kwa miaka zaidi ya 20 sasa lakini maendeleo SIFURI! na wewe mchumi uchwara unapigia makofi hali hii1 Kweli wewe ni pimbi.

13912358_1568011230171684_8702212615280387452_n-jpg.461621

kinya19012017.jpg

Hii nchi wapumbavu kama wewe ndo wanaisababisha inakuwa maskini maana hutaki kufanya kazi unategemea hisani kutoka kwa Lowasa, fanya kazi acha kufugwa tutusa wewe.
Rudia kusoma ulichoandika maana tunaongelea mambo ya depreciation of exchange rate wewe unaleta vihoja vya TANESCO mara uDC tatizo unafikiri kila mtu anafugwa kama mfugo kama wewe
 
Hujitambui pimbi wewe mimi na lowasa kwa taarifa yako mbali mbali. Sitegemei kuishi kwa kukiss ass za wanaoukuweka mjini ili uendelee kuwaabudu hawa wanaojiona Miungu. Ni hasara kubwa kwa nchi kuwa na mataahira kama wewe mliosoma elimu uchwara na kisha kujiona ni wasomi!

Mpumbavu wewe hujui kama hali ya kifedha Tanesco inaathiri pia thamani ya shilingi. Hukusikia mafisadi wamepeleka kopo lao la kuomba omba IMF!? Mpumbavu mkubwa wewe.

Jk tusaidie
mshauri jpm
Dola hivyotena. We we ulijitahd ikashuka MPE techniques
 
Hujitambui pimbi wewe mimi na lowasa kwa taarifa yako mbali mbali. Sitegemei kuishi kwa kukiss ass za wanaoukuweka mjini ili uendelee kuwaabudu hawa wanaojiona Miungu. Ni hasara kubwa kwa nchi kuwa na mataahira kama wewe mliosoma elimu uchwara na kisha kujiona ni wasomi!

Mpumbavu wewe hujui kama hali ya kifedha Tanesco inaathiri pia thamani ya shilingi. Hukusikia mafisadi wamepeleka kopo lao la kuomba omba IMF!? Mpumbavu mkubwa wewe.
Ndugu BAK, inaelekea una hasira sana na viongozi wa nchi yetu, nimefuatilia post zako kwa ukaribu nimeona unalenga zaidi kutoa lawama kwa serikali na viongozi wake, ingekua vizuri ukapendekeza na njia za kututoa hapa tulipo kwenda huko unapopaona ni pazuri zaidi, kuliko kupoteza nguvu nyingi kulaumu watu, ambayo naona haitusaidii sana. Naamini wote tuna nia moja, ya kuhakikisha nchi yetu inasogea mbele zaidi, ingawa mitazamo yetu juu ya jinsi ya kufika huko tunapotaka inaweza kutofautiana. Tutumie muda wa kutosha pia kujadili majawabu.

Kwamfano, mtoa mada amelenga kuongelea kushuka kwa thamani ya pesa yetu, wapo wenye uelewa wa haya mambo na wametoa mitazamo tofauti huko juu, ni vyema sasa tukajikita katika kujadili mitazamo hio na kuona kama tutaweza kupata majibu ya swala lililoletwa na mtoa mada.
 
Back
Top Bottom