Eti Ccm yajenga nchi!watu waone sasa!Dodoma kwenyewe hakuendeki pesa za kuhamia Dodoma zimenunua mabomu ya machozi na zingine ni kwa ajili ya posho za polisi pindi waliwapiga mabomu Wapinzani, waziri mkuu yupo busy na kuficha njaa na kumsaka faru Dume akiwa Dsm hataki kwenda Dodoma pia,walisema watahamia Dodoma haraka wote wapo Dsm hakuna Dalili tena,kama viongozi wanadanganya umma unadhani wananchi wanajifunza nini hapo? Sasa ni mwendo wa ahadi hewa...,,
"Unasikia"manake nini?Sasa namba zinajidhihirisha wazi, shilingi inashukaa kwa kasi sana. Ni juzi tu ilikuwa 2180Tsh kwa dola 1.
Unaambiwa utalii na soko letu la nje limepwayaa.
Wafanyabiashara wengi sasa wana ishi kwa hofu, wengi waanza kubadili fedha zao kwa dola ili kujihakikishia usalama wao kifedha.
Mapato yameshuka, fedha zote za TRA huishia kwenye mishahara na matumizi ya kawaida.
Fedha za maendeleo tunategemea mikopo ambayo bado inaonesha hatufai kukopeshwa.
EU na US sasa hawatoi misaada, nasikia na Mchina huyo kazingua kwenye mkopo wa ujenz wa reli.
Nasikia Wakubwa Dunian wametuacha tulivyo waone Mbio zetu zitaishia wapi.
Wafanyabiashara Kariakoo wengi mbioni kufilisika, madeni ya mikopo inawasumbua. Biashara haziendi.
Nnii hatma ya hii?
Maana yake "Nasikia""Unasikia"manake nini?
We kiazi kweli, unatetea nini sasa hapo.Depreciation ya sarafu yetu haina maana kwamba uchumi unateremka, manake kwamba uwezo wetu kwa kuingiza bidhaa kutoka nje au kupeleka watoto wakasome nje kwa mfano utapungua. Lakini wakati huo depreciation inaweza kufanya tuuze sana nje na hivyo kujiongezea fedha za nje. Ni panga ikatayo kuwili.
Ikumbukwe uchumi sio maendeleo, tukiongelea maendeleo tunaongelea uwezo wa watu kumudu maisha yao huku wakipata mahitaji yao muhimu pasipo ugumu. Kwa mtazamo wa kimaendeleo kwa kweli tunadidimia kwa kasi tangu tuchague uongozi mpya.
Na wewe upo wapi mkuu au wewe porojo lenu la hapakazi halikuhusu?Wanaotakiwa kuzalisha ndio hawa wapo busy mitandaoni wanalialia!
Sio kwa spidi ya U Bolt?Uchumi unaporomoka mdogo mdogo
Ila naona magufuli anawasaidia kufuatilia mambo ya uchumi ingawa uwezo wenu bado mdogo sana,trend ya exchange rate imekuwa unachezea hapo kwa mda mrefu sana,sasa hizi cheap politics zenu kamwambieni mboweNgoja tuone speed ya kuporomoka. Niliangalia less than a week ago conversion rate ilikuwa ni U$ 1 = T shs 2,183.wenu bado
Hali ya uchumi ni mbaya kwa kweli na huu ukame ukiendelea basi gharama za maisha zitakuwa hazishikiki kwa mfumuko wa bei.
Achana na hawa Nyumbu unafikiri kuna wanachojua zaidi ya kuambiwa waje huku kuandikaHa aha ....
We jamaa wewe, kwa hiyo kipindi cha JK ambapo Dollar ilikuwa inashuka kwa kasi sana ilisababishwa na hayo ?
Kwa hiyo huu uozo mnaoandika humu ni kwa sababu ya ATM yenu kukatwa! Mwambieni haitatokea akawa raisi wa hii nchiKikwete ndo alituachia hili balaa, Unamkata mtu Jina Kwa chuki binafsi... maana yake ni chini?
Hili ni pigo kuu Kwa taifa la Tanzania ambalo litabaki kuwa kumbukumbu.
Swali, miaka kumi na huyu mtu kweli? Nchi itakuwa Kama Zimbabwe.
Ila naona magufuli anawasaidia kufuatilia mambo ya uchumi ingawa uwezo wenu bado mdogo sana,trend ya exchange rate imekuwa unachezea hapo kwa mda mrefu sana,sasa hizi cheap politics zenu kamwambieni mbowe
Kikwete ndo alituachia hili balaa, Unamkata mtu Jina Kwa chuki binafsi... maana yake ni chini?
Hili ni pigo kuu Kwa taifa la Tanzania ambalo litabaki kuwa kumbukumbu.
Swali, miaka kumi na huyu mtu kweli? Nchi itakuwa Kama Zimbabwe.
Zile fedha za MCC zingekuwa kinga nzuri dhidi ya kuporomoka sarafu yetu
Sasa nchi yote ispokuwa Mtukufu na yule mteule wa Jecha tunateseka,kwa kuwa asilimia kubwa ya bidhaa zetu zinanunuliwa na fedha za kigeni
Bado miezi michache kuhitimisha bajeti nchi kifedha ni hoi bin taabani,hakuna ajira wala miradi ya maendeleo ILIYOTENGEWA 40% na kujisifia sana
Mkuu, kabla ya kufikia hitimisho, kwanza jipe nafasi ya kufanya utafiti kodogo, hata kupitia mitandao utapata baadhi ya majibu.Sasa namba zinajidhihirisha wazi, shilingi inashukaa kwa kasi sana. Ni juzi tu ilikuwa 2180Tsh kwa dola 1.
Unaambiwa utalii na soko letu la nje limepwayaa.
Wafanyabiashara wengi sasa wana ishi kwa hofu, wengi waanza kubadili fedha zao kwa dola ili kujihakikishia usalama wao kifedha.
Mapato yameshuka, fedha zote za TRA huishia kwenye mishahara na matumizi ya kawaida.
Fedha za maendeleo tunategemea mikopo ambayo bado inaonesha hatufai kukopeshwa.
EU na US sasa hawatoi misaada, nasikia na Mchina huyo kazingua kwenye mkopo wa ujenz wa reli.
Nasikia Wakubwa Dunian wametuacha tulivyo waone Mbio zetu zitaishia wapi.
Wafanyabiashara Kariakoo wengi mbioni kufilisika, madeni ya mikopo inawasumbua. Biashara haziendi.
Nnii hatma ya hii?
Ngoja nikusaidie wewe mfugo wa Lowasa, June 2015 exchange rate ilikuwa TZS 2260/USD wakati June 2004 ilikuwa 1,014.Acha ujinga wako wewe! Wengine uchumi tumeanza kufuatilia siku nyingi sana. Ungekuwa unaelewa mambo ya uchumi usingeandika pumba zako humu. Fuatilia ili uone miezi michache kabla ya awamu ya kikwete kuisha shilling ilianguka kwa kiasi gani, na kuanguka huku si ajabu ni mwanzo mwingine wa speed kubwa ya kuanguka.
Ngoja nikusaidie wewe mfugo wa Lowasa, June 2015 exchange rate ilikuwa TZS 2260/USD wakati June 2004 ilikuwa 1,014.
The highest exchange rate for the past 10years ni hiyo 2260 ambayo ilikuwa June 2015.
Wewe ni tutusa tu hauna unalojua kuhusu uchumi, nenda tena wakuelekeze cha kujibu maana nikianza kuongea na wewe kuhusu haya mambo utakuwa unanipotezea mda wewe mfugo wa Lowasa.